Angalia kazi ya vijana hawa wanajiita SOWETO KIDS

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,276
5,929
Wakuu hope mna enjoy weekend vema
Kimsingi vijana hawa wanakuja vizuri sana kazi yao nimeipenda

Tupia maoni yako kuwashauri

 
Naaam.., Vijana wamejitahidi sana ila nadhan ukosefu wa Fedha na Uongozi sahihi ndo vimewaangusha!
 
Back
Top Bottom