Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

c2f8070c5dc26d9fcda47db60b7ee0fc.jpg
509ccf414fe91f62179a1580da22613c.jpg
1005184beeb1cc45730675e31e79b969.jpg
d537ba98dcb882274cd390bce593c34a.jpg
 
Mkuu kwan Chato iko kaskazini? Kwan nao wanasema wamebarikiwa na 'mungu'
Chato wamebarikiwa nao maana jana mtu mmoja tu alikuwa anaenda likizo kasimamisha mabasi, magari na vyombo vingine vyote vya usafiri kuanzia Geita hadi Chato kwa saa nzima na nusu hadi alipopita yeye...!!!! Anaboa sana!
Msema kweli ni mupenzi wa mungu!!!
 
Mtu mzma kufunga safari kujikimbiza nyumbani kula sikujuu ni ushamba sana
 
Chato wamebarikiwa nao maana jana mtu mmoja tu alikuwa anaenda likizo kasimamisha mabasi, magari na vyombo vingine vyote vya usafiri kuanzia Geita hadi Chato kwa saa nzima na nusu hadi alipopita yeye...!!!! Anaboa sana!
Msema kweli ni mupenzi wa mungu!!!
Njoo kaskazini
 
Back
Top Bottom