Recent content by vidmate

  1. vidmate

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Maisha yamekufundisha nini mpaka umri huo uliofikia?

    Afya ni mtaji mkubwa sana mejifunza kutunza na kuijali sana
  2. vidmate

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Sentiments za wawekezaji lazima zitaswing either negatively ama positively
  3. vidmate

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Kwanini? Sentiments lazima zichange na ukumbuke hisa yao inauzwa at discount
  4. vidmate

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Baada ya split itakuwa na athari gani kwa kampuni kama nicol ambao wamewekeza zaidi Nmb?
  5. vidmate

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ushindi wao ni draw si zaidi ya hapo
  6. vidmate

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Sina ndugu yyt aliyeumia ktk maandamano yaliyopita ila kwa kutazama maumivu waliyopitia watz wenzangu maandamano hata watoke wachache nitaungana nao kudai kumtoa mkoloni mweusi bila kushawishiwa na mtu yyt
  7. vidmate

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Merino kuanza badala ya rice arteta kazingua sana
  8. vidmate

    JamiiForums Tanzania GE2010 Rostam Aziz anavyochezea akili za Watanzania

    Sasa ni miaka 15 tokea huu Uzi uandikwe na bado mpaka leo ni mtu yule yule, duh!
  9. vidmate

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

    Niliona Jose mla vichwa anayala huko YouTube lakn Ile video yake sikuweza kuitazama kbs kbs yaan Nadhani tukubali kuna vitu vingine si kwa ajili ya kila mtu vingine vya wachache hao wadudu kipindi cha mvua kwangu nazungishia chumvi no entry kbs
  10. vidmate

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

    Simuogopi ila sipendi hata kumuona huyu ni konokono nahisi kinyaa sana ikitokea nimemgusa bahati mbaya
  11. vidmate

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna watu watasema tumebebwa 🤣 🤣 🤣 🤣
  12. vidmate

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Hatimaye 60m imekupa utajiri
  13. vidmate

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado naamini arsenal atapindua meza
  14. vidmate

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Skell baadae anaweza kuwa mido mzuri sana
Back
Top Bottom