Tangu 2010 mnasema hivyo hivyo, now 15 yrs later bado wanadanganyika.This time wameula wa chuya, waTZ hatudanganyiki kirahisi tena hivyo.
Mimi nadhani Watz wana Wivu sana. Mtu akifanikiwa wanadhani kaiba wakati ana work smart and hard.Sasa ni miaka 15 tokea huu Uzi uandikwe na bado mpaka leo ni mtu yule yule, duh!
Vile Vile Na Yupo CCM Na Anaendelea Kudundika TuMiaka 15 baadaye
JF iishi miaka mingi 🙏🙏
Kingmaker😀
Mmh! Ana work smart sio? Tuendelee kujitafakari kama TaifaMimi nadhani Watz wana Wivu sana. Mtu akifanikiwa wanadhani kaiba wakati ana work smart and hard.
Hao ndiyo wenye CCM yaoVile Vile Na Yupo CCM Na Anaendelea Kudundika Tu
Yaani Hakuna La KusemaHao ndiyo wenye CCM yao
Sisi Wajumbe Jukumu letu ni kuwapigia kura tu ya ndiyo 🙌
Hii kauli nThis time wameula wa chuya, waTZ hatudanganyiki kirahisi tena hivyo.
Hii kauli ipo mwaka wa ishirini sasa.This time wameula wa chuya, waTZ hatudanganyiki kirahisi tena hivyo.
Hatari 😅Yaani Hakuna La Kusema
Hayati Msabaha Alisema Kwa Kizaramo "Bangusiro "
Kondoo Wa Kafara