Zile Bajaj- Gari ni.khero mnoo,yani kama Jenereta la Mreno.
Huku posta zikipit kila mtu anaziba maskio.
Zile ni uchafu.kuliko uliopo dampo la Pugu.
Note:-
.bhakhresa hajabagua mtu,kila kazi ina watu wa asili flani,mbona ukienda kwenye mabucha unakuta watu toka pande flani za nchi,Jeshi nalo...