kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Hela za kampeni za ccm uchaguzi wa October!
Amia Airtel, full kujiachia!
Vocha ya kifurushi ya Airtel ya 1000/=
Dakika za maongezi mitandao yote ni 30
Sms 1000
MB 300
Kwa siku 2
AIRTEL YATOSHA!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi nipo na Vodacom bila kikomo kwa buku tu ...haki akweli kifurush hicho kimenifanya nidownload hadi movie kumi per day kwenye cmu na kuhamishia kwenye PC..hapa nazungumzia movies zenye 600mb- 1.9gb..!! napata raha..download speed napata hadi 1.7mb..
Tuliza mpira kwanza. Haya makampuni huwa hayakurupuki moja moja, huwa wanaingia makubaliano ya kupandisha kwa pamoja mara nyingi. Hama baada ya wiki, kesho mapema mno, maana nafikiri airtel wataunga tela si muda mrefu.
tuhame wote kwenda airtell. tusikubali unyonyaji huu wa mabepari wa simu wakiongozwa na yule jambazi rowtam azizieli.Vocha ya kifurushi ya Airtel ya 1000/=
Dakika za maongezi mitandao yote ni 30
Sms 1000
MB 300
Kwa siku 2
AIRTEL YATOSHA!!!!!!!!!!!!!!!!!
Terms and conditions apply. Si ulikubali, ukitaka kumficha Mbongo kitu basi kiweke kwenye maandishi.