victorserv
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 195
- 56
Jambo ingine ambalo baya kuliko yote ni kupora mke wa mtu tena wakati ukiwa padre uliwafungisha ndoa kanisani.
Ulikuwa ukiletewa kesi usuluhishe ili wanandoa wendelee kubaki mwili mmoja ukatuma udhaifu wa mwanamke kumpora kutoka kwa mumewe
Mbaya zaidi ukatangaza kufunga ndoa ukazuiwa mahakamani kwa aibu mpaka leo unamwita mchumba. Uzee wa miaka 70 na uchumba wapi na wapi
Wewe uliambiwa uchumba mwisho miaka mingapi?
Upadre aliacha na sasa yupo huru!
Wewe una hakika gani kama baba uliyenaye hajabambikiziwa mimba na mama yako,ambapo kihalisi ilikuwa ya mzee mmoja mlinzi wenu,ana miaka 82!
Tumia akili !