saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 729
- 653
Advans bank ilitangaza nafasi za Junior Community Development officer.
Leo nimepigiwa kuitwa kwa usahili kesho kwa bahati mbaya nipo unguja shamba mtandao wa tigo unasumbua na sijaelewa eneo ila nilijaribu kupiga simu baadae nika ulizwa jina na nikaambiwa ujumbe atafikishiwa muhusika, kama kuna aliye itwa pia naomba maelezo.
Natanguliza shukran.