Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

Status
Not open for further replies.
Siku waislam watakapoelewa kuwa kiukweli adui Yao no 1 ni kukosa elimu bora tu na kuchanganya sana dini kwenye Mambo Ya kidunia Nadhani itakuwa mwisho wa dunia.
Dini na Mambo Ya walimwengu hayaendagi pamoja Hata cku moja. Huwezi vaa kininja huku unaenda kwenye maabara kufanya titration. Au unaenda machine shop.

Hapa ndio munanichefua nyie munajiona mumesoma na mumeilimika.
Hivi nyie wakiristo wenye elimu na mulio na nyadhifa serikalini hamuoni aibu kujisifia munaelemu na leo nchi iko hivi?
Elimu yenu inafaida gani leo dola 1 tsh 2350.
Vijana wanavuta unga wanajisifia ktk tv jinsi wanavyo jiuwa nyie mupo tu wakiristo tumesoma waislam hamukusoma.
Elimu zenu zinafaida gani maalbino wanakatwa viungo wakiwa hai nyie mupo tu wakiristo tumesoma sana elimu gani za kijinga hizo?
Mwisho mutashinikiza bunge lipitishe na sisi tufirane kwa elimu zenu zilivyo wazidi.
 
Waislamu wameundiwa chombo na CCM yaani BAKWATA, ndio CCM imewaroga kabisa wakiona CHema chadema wanafikiri ni chombo cha kikristo. Angalia majimbo wanaochukua CCM wakazi wengi ni waislam. Nawasifu wale waislam wasioitambua Bakwata hata maeneo yao kuna maendeleo kiasi fulani. Lakini maeneo yaliyokaliwa na Bakwata kama Tanga, Tabora, Pwani, na Morogoro ni majanga
 
Mdau hapo juu kakupa adui wa ukristo na mimi nakuongezea WAYAHUDI KWA KUMUUA MUNGU WETU

Yesu alifufuka siku ya 3.

Wakristo wanasamehe.

Biblia inasema "kisasi ki juu ya Mungu"

Yule mzungu wa Marekani kaua Walokole 9,na Walokole ealoponea na ndugu za marehemu wamemsehe bure,huo ndo ukristo
 

  • Ndugu zangu.


    Tunapo kuwa tunajiuliza mhemko wa udini unatoka wapi au nani wameusababisha na kuuasisi si vibaya tukajua maadui wakuu kwa upande wetu waislamu. Ukimjua adui ni rahisi kupambana naye na ni nusu ya ushindi kwenye vita ya kutafuta haki au usawa au kuondoa tunao uita unyanyasaji kwa waislamu au mfumo kristo kama wengine wanavyo penda kuita (Mimi sio muumini wa dhana ya mfumo kristo) maana nimeona wakati wote waislamu wenzangu wakishika nafasi kubwa serikalini, kwenye mashirika ya umma na hata mashirika binafsi.

    Siuoni mfumo kristo kama unavyoitwa au kama baadhi ya waislamu wenzangu wengine wanavyotaka kuaminisha umma wa kiislamu juu ya hii dhana. Nasema sioni kwa kuwa bado naamini katika uwezo na si mfumo kristo, si uoni kwa kuwa hii nchi niya wakristo, wapagani, waislamu, wahindu na dini nyingine. Si uoni mfumo kristo kwa kuwa nimeshuhudia watu kama kina omari mahita, na said mwema wakiwa viongozi wa vyombo ambavyo mara kadhaa vimesababisha mauwaji ya waislamu wenzetu na ndugu zetu wakristo pia. Mtanisamehe bure wenye mtazamo tofauti na wangu lakini siuoni mfumo Kristo nikimuangalia JK na makamu wake, si uoni mfumo Kristo nikimuangalia wajina wangu Mohamedi Sheini na Sharif Hamad, siuoni mfumo Kristo nikimuangalia Chande Othman (yule jaji mkuu) na Othaman Rashid (mkurugenzi wa Usalama wa Taifa), siuoni hata nikiungalia kwenye wizara na taasisi nyingine za serikali.

    Wanaoongela mfumo Kristo hawana uthibitisho wa kutosha kuhalalisha madai yao ambayo kwa sasa nayaita hayana mashiko bali yametawaliwa na ukame wa maono na kiangazi cha fikra kinacho piga macho pazia mchana wa jua kali.

    Kwa waislamu na wasio kuwa waislamu, Lazima tutambue kuwa adui wa waislamu sio wakristo, wapagani, wahindu,au dini nyingine zinazopatikana kwenye huu ulimwengu.

    Lazima tujue kuwa sisi ni ndugu tunaohitaji kuishi kwa upendo na kuvumiliana bila kuathiri imani zetu, na ikitokea lazima tutafute njia za amani kupata suluhu.

    Kwa mtazamo wangu hawa ndio maadui wakubwa wa uislamu kwa Tanzania.

    1. Adui namba moja kwa waislamu ni kutokuwa na mashule na vyuo vingi vyenye kutoa elimu bora kwa vijana wa kiislamu na hata wale wa upande wa pili wanaokuja kuitafuta elimu. Najua kuna watu watapinga sana lakini ukweli mchungu lazima tuuseme ili tupate pa kuanzia, mtakuwa mashahidi hata shule tulizo nazo hazifanyi vizuri sana kwenye mitihani ya kitaifa lakini pia hata mashule yetu hayana mfumo wa kuandaa masheikh walio iva kwenye elimu dunia na akhera. Mimi napendekeza harakati zetu ziwe kwenye kujenga mashule ya viwango pamoja na kuajiri walimu bora bila kujali dini zao ili kuwaandaa vijana bora wanaoendana na kasi ya sayansi na teknolojia kuelekea soko la ajira ya ushindani na pia viongozi bora wa dini.

    2. Ni kukubali kufanywa nyezo ya CCM kupata uhalali wa kutawala kwa kura za waislamu. Lazima tujue kuwa CCM wametutumia vya kutosha na kutudanganya vya kutosha, sasa tuseme basi! Mfano:~ Wametudanganya swala la mahakama ya kadhi wakati wa kampeni 2010 waislamu waliotaka tuwe na kadhi kwa kauli hadaa ya CCM wakapiga kura za kuhadaiwa lakini baada ya matokeo wakatugeuka! Huku ni kuonekana kuwa tu-malofa wa kudanganywa, tuunge mkono chama ambacho hakita tugawa lakini pia ambacho hakita tugawa na kuharibu umoja wetu wa kitaifa.

    3. BAKWATA imekuwa ni kama taasisi ya CCM, wanamuweka wanayetaka wao. Lazima tupiganie BAKWATA kiwe chombo huru cha waislamu na tuweke viongozi wenye maono mapana tunao taka sisi sio CCM hii itasaidia kurejesha imani kwa BAKWATA. Napendekeza Qualification ya kuongoza BAKWATA iwe ni PhD kwa kuangalia uwezo wa elimu akhera na elimu dunia lakini pia pamoja na uwezo wa kuongoza na kusimamia mambo. Chuo kikuu cha MUM kinaweza kusaidia kuratibu kupatikana wataalamu na watendaji wengine wa BAKWATA ambao nao kiwango cha chini cha kuanzia kiwe shahada moja na kuendelea.

    4. Kutokufuata mafundisho ya mtume. Mtume wetu Muhammad S. A. W alikuwa mwema, mwingi wa hekima na busara. Lazima tuyafuate mafundisho yake na kukumbushana mema na kukatazana mabaya, uislamu haujajengwa kwenye misingi ya uhasama, vurugu, fujo, chuki na mambo mengine mabaya. Uislamu umejengwa kwenye misingi ya usafi wa matendo mema, kumcha Mungu, ukarimu, na kuhurumia na kuwajali wengine. Tukiyafanya haya tutawaepuka wale wanao utumia uislamu wetu kama daraja ambalo baadae hutuchafua wote. Mfano wale walio ingia kuchoma na kuvunja kanisa na kuiba sadaka, baadhi ya vifaa vya kanisa na mikate.

    "Uislamu ni unadhifu" hii ni moja ya tafsiri ya hadithi za mtume wetu kipenzi Muhammad S. W. A. Tuyafuate mafundisho yake kwa matendo ili tumuenzi kipenzi chetu.

    *MWENYE MCHANGO WA KUJENGA USIO KUWA KEJELI AU MAUDHI AONGEZE NISIPOGUSA*






    Source:

​https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...waislamu-na-uislamu-wenyewe-kwa-tanzania.html

wewe pia adui wauislam kma unaupngana namafndisho yauislmu nakusambza prpgnda zsizo sahh umeshaingia ktk kundi hilo,cc tunaamin ttzo mfumo mana kma ingekuwawatu wnaendsha mfumo nasimfumo wawaendesha isngfikia hpa tlipo now cos waislam jina si hao tu uliowtja kwn hata mkuu wakaya jk naye sinimwslamu lkn mbna hali ni tete? tkisema tatzo mfumo tnamaanisha uislmu bngo umetiwa kwnye pket naserkli kwamaslah yao ndmana mahkama yakadh kitndwili hd leo,bakwta inaongzwa kwknuni zasrkli namatkwa yao natkisema tuanzishe chmnbo cha waislmu chaukwl rungu lasirikali linapta,mashekhe ztu wamkmatwa madrassa znafungwa na kma si tatzo ni uislamu tu na sidini mbna upnde wa pili kwema tna mpka wanatuingilia kuktaza serkali wastume mahkma yakadh lkni.watu wmeelimika sana tu tena elimu zote sikuhizi na jithada znafnyika sana tu na umoja pia upo kma ukoftilia utagundua hlo ttzo ni mfumo na unafki wabaadh.
 
We bibi kapike uji wa saa kumi bishana na critical thinker Punguani mwenyewe mtu mzima huna adabu

we ungekuwa na adabu ungetkna?au ndo mwehu huona wenzake ndo wehu sababu ya wehu wake?ubongo wko upo uchi ww sibure hasaa
 
Mfumo kristo hupo tanzania hili linaushahid hata Sivalon kaandika ktk kitabu chake KANISA KATOLIKI na siasa ya tanzania bara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom