Huu muungano ulipatikana kwa manufaa ya wote wapuuzi wachache leo wanataka ku uharibu kwa kisingizio cha udini? Piga pingu sana wapuuzi waliochoka uhuru wao tena wafungwe miaka buku
Pole mkuuu mimi ilinitokeaga nikamwsmbia nami usinitafutege tukaachana ka miaka miwili kumbe alipataga kibopaTRA alipopigwa chini mi nshakuwa na mtu xo hadi ss nina wife material yeye kazalishwa yupo anazulula akiniona analiaga hadi basi siwezi kumsaidia tena........wazuri wa kuoa wapo huyo...
Natafuta msichana wa kazi za nyumbani yaan msaidizi sifa awe mstaarabu na ajue kulea watoyo vizuri mshahara 50000 kwa mwezi kila kitu mahitaji juu yangu niko mwanga klm
Naona kunahitajika uelewa zaidi kuhusu fedha.....najiuliza ikiwa kuna njia nyingine ya kusafirisha hela kwanini zije mwa ndege? Na je, lengoake ni zuri kama tunavofikiria? Je, ikiwa ni kufanyia ubaya nchi yetu tutajuaje? Si kuna makundi ya wahuni wengi siku hizi? Je kama ni za ki uhaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.