Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

Kama umedhamiria kweli utapata maana status uliyoandika sijaona sehemu umeandika kiwango cha elimu hapo umenifurahisha lkn amabpo sijaelewa ni kwamba mwanaume asiwe tegemezi Kvp? Mm najua hakunaga mwanaume tegemezi hata kama hana kazi atazunguka kwenye mizunguko yake ya vibarua na kupata hela ya kula nyumbani.kwa ushauri ungeweka contact na unapopatikana
nadhani hataki dizaini za uchebe.
 
Morning!

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani kabisa maisha ya u single.

Sina uhakika kama huku naweza pata mwanaume atakae nielewa na kuthamini thamani ya upendo nitakaompa ila yote kwa Mungu yanawezekana

Nahitaji mwanaume alie na utayari wa kujenga familia na anae jua thamani ya mwanamke

Mimi ni mkristo ningependa pia mwenzangu awe mkristo

Sio tegemezi na sihitaji alie tegemezi

Umri kuanzia 29+

Sina mtoto na kama mwanaume atakua na mtoto asizidi mmoja

Asubuhi njema!
Juzi ulituambia una mpnz ambaye unamshukuru Mungu ni sahihi na mnapendana sana wala hujutii couple yenu ila akaanza kubadilika! Ndio chanzo umeamua kusaka mpya??
 
Hakika Tabia yako ya upole ,imethibitika ndani ya maandishi yako.

Umeandika kwa uchache ,,Kwabusara sanaaaa,, Na upekee ulonao nikwamba weee sio Mnyanyapaaji !!!.

Awe 29+ naasiwe tegemezi , akiwa na mtoto mmoja poa !!!!.......

Katika kupitia nyuzi ulowah ziandika nimegundua haya...

Unaupendo Wa dhati
Mshauri mzuri
Na kweli unaupwekee !!.

Nachukua nafasi hiii ,kukutangaza kua " Superstar who deserve to be a Wife material "".
 
Kama umedhamiria kweli utapata maana status uliyoandika sijaona sehemu umeandika kiwango cha elimu hapo umenifurahisha lkn amabpo sijaelewa ni kwamba mwanaume asiwe tegemezi Kvp? Mm najua hakunaga mwanaume tegemezi hata kama hana kazi atazunguka kwenye mizunguko yake ya vibarua na kupata hela ya kula nyumbani.kwa ushauri ungeweka contact na unapopatikana
Hataki mwanaume kama Baba Dangote
Mtegemezi mpaka kahama jina
 
Hafu anatumia ID mbili tofaut katik maada hii,anajijibu mwenyewe n.k, ajira bado hazijatoka watu hawana kaz
Ni kweli una haki ya kuandika chochote ila sio busara kuandika kitu usicho na uhakika nacho
 
Hakika Tabia yako ya upole ,imethibitika ndani ya maandishi yako.

Umeandika kwa uchache ,,Kwabusara sanaaaa,, Na upekee ulonao nikwamba weee sio Mnyanyapaaji !!!.

Awe 29+ naasiwe tegemezi , akiwa na mtoto mmoja poa !!!!.......

Katika kupitia nyuzi ulowah ziandika nimegundua haya...

Unaupendo Wa dhati
Mshauri mzuri
Na kweli unaupwekee !!.

Nachukua nafasi hiii ,kukutangaza kua " Superstar who deserve to be a Wife material "".
ASANTE
 
Wewe ndo mwanamke wa kwanza kutokupata majibu ya karaha toka kwetu wanaume,tangu nijiunge humu 2013 na kuwa msomaji mgeni kuanzia 2000,
hongera mchumba,mola akuongoze kwa kila la kheri,na akuondolee shari na fitna zote.
JF imeanzishwa 2006, wakati unasoma kama mgeni ulikuwa unasoma forum ipi?
 
Back
Top Bottom