Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma.
Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
yani kiufupi huyu mbunge wa jimbo la siha amalize tu mda wake aje apumzike nyumbani kwa sababu hakuna cha maana alichofanya tangu ajiunge na chama cha mafisadi(ccm) bora angebaki CHADEMA tu
alituahidi barabara zitatengenezwa kwa kiwango cha lami lakini mpaka leo jua likiwaka ni vumbi tu...
Habari za wakati huu wana jamii.
Hivi inachukua muda gani kupata namba ya NIDA baada ya kujiandikisha katika ofisi zao? Nakumbuka ilikuwa tarehe 9 October 2023 nilienda kujaza taarifa zangu katika ofisi za NIDA (wilaya ya Siha Kilimanjaro) nilikamilisha kila kitu hadi picha.
Niliambiwa nirudi...
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli...
Habari za muda huu wana Jamii,
Kuna baadhi ya vitu sivielewi kuhusu hawa TANESCO
1) Mtu unapohitaji huduma ya umeme unatakiwa kununua nguzo?
kwa sababu nikiangalia katika kijiji changu cha NAIBILI (Kilimanjaro wilaya ya Siha) mwananchi anatozwa shilingi 200000(laki mbili ) kununua nguzo , nje...
Habarini wana Jamii,
Baada ya kujaza fomu ya maombi ya namba ya NIDA unatakiwa ukae mda gani ili kupata namba yako?
Nina mwezi wa tatu tangu nijaze taarifa za kuomba namba ya NIDA lakini mpaka sahivi sijafanikiwa kuipata.
Nikienda ofisi husika za NIDA naambiwa mtandao upo chini Tanzania nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.