Napenda pilau, wali maharage, ndizi nyama za kichagga, ugali na mboga za majani zilizochanganywa na nyama, wali samaki, wali nyama/kuku, makande ya nazi siku moja moja, ugali na dagaa zenye bamia na nyanya chungu,
kwa breakfast mkate na mayai ya kukaanga (spanish), sausage, vitumbua, maandazi...