Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

Nmekuwa single since march 2011 na nmekuwa mwnye furaha ktk maisha siri kbwa ni kumake friends,kfnya mazoez,kusali na kupnda kwnda out with friends especialy beach,so 2 hell na mahusiano kma ur not ready 2 face the consequenses.
 
kama kuna mtu anakufatilia na unaona anaweza kuwa na interest sawa na wewe inaweza kuwa ni wakati muafaka wa kumkubalia…au kama kuna mtu umetokea kumpenda unaweza kumueleza juu ya hisia zako vilevile🙂

Wanaume wengi wa kibongo ukimueleza hisia zako anakula kona. Eti nasikia wanapendaga wafukuzie wenyewe!!!
 
Ni kweli wengi wanasema hivyo lakini si wote wanayafuata hayo...
 
upweke... I miss my 1230km beautiful princess.

she is awesome and courageous.
 
beer_13838.jpg
 
kama kuna mtu anakufatilia na unaona anaweza kuwa na interest sawa na wewe inaweza kuwa ni wakati muafaka wa kumkubalia…au kama kuna mtu umetokea kumpenda unaweza kumueleza juu ya hisia zako vilevile🙂

Dah... Hapo kwwenye red ndipo pagumu, make wengine wanachukulia for granted, ukionesha unawapenda wanakuzuga kukupenda afu mwisho wa siku wanakudump unabaki unaumia tu!

Kwenye blue, kuna mtu ananifuatilia ila ana masharti magumu afu kama namstukia ananijaribu, et anataka nikalale kwake afu hajawahi kunambia kama ananipenda, yeye ni karibu kwangu unitembelee uje ulale hata siku moja lol!!! Majangaaaaaaaaaa.............................
 
Ukalale kwake mmmh....nadhani ushapata ishara kipi anachokitaka kutoka kwako!
 
binamu umeongea kabisa hasa hapo kwenye green umenitouch ile mbaya
kwani mijanaume ukishaionesha unawapenda basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Dah... Hapo kwwenye red ndipo pagumu, make wengine wanachukulia for granted, ukionesha unawapenda wanakuzuga kukupenda afu mwisho wa siku wanakudump unabaki unaumia tu!

Kwenye blue, kuna mtu ananifuatilia ila ana masharti magumu afu kama namstukia ananijaribu, et anataka nikalale kwake afu hajawahi kunambia kama ananipenda, yeye ni karibu kwangu unitembelee uje ulale hata siku moja lol!!! Majangaaaaaaaaaa.............................
 
hapo anakuwa hapendi anachopenda ni kule ambapo Mungu alisema kuwe kwenye ndoa tu ila sisi wanadamu tumekubadilisha kabisa tunakufanya wakati wa kuto-ndoa

Back
Top Bottom