Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

Hata nie mnatakiwa mfunge zipu zenu, sio kufungua zipu hovyo ovyo tu

tutafungaje zipu wakati nyie mko after dolaz and pounds? mtagongeka tu na wanaume kibao mjini hapa!

mabadiliko kwenye mapenzi yataletwa na mwanamke tu!! sio mwanaume!!!

mwanaume ni mdhaifu always.. sawa binti mzuri ram?
 
Last edited by a moderator:
Hivi anaeanza kumtongoza mwenzake ni nani?
Usijiangalie wewe kama wewe but angalia jamii kwa ujumla wake

endelea tu utakutana na wengine wanaobweka ka mbwa! ndo utakapoonaa maajab ya uzinz

Wee Lady.A wewe!!!
Ivi unajua unapoweka majibu kama hayo, mwendhio ndio nafolu in lavu kwako?
...
Ngoja nikuanzishie kathired sasa huenda ukanielewa!
 
Last edited by a moderator:
dHARAU HIZO HAKUONA ULICHOFANYA JAPOKUWA WEWE ULIKUWA UNAJIKAMUA SANA.pole kwa fedhea hiyo
 
kucheka na kulia yote ni miguno tu, mbona kuna mwingine analia kama punda, basi rahaje?
 
Lady pepeta zikitumika mbili kwa mpigo huondoa kbs ladha ya hii kitu, tuambie aliweka ngapi...
 
Najuta kukatiza hapa! Nimecheka ila nimekwazika pia!
 
Hahaha kuwa makini, si kila dume unalijambia. Mengine mabasha ukiachia ushuzi yanachomeka kikojoleo chao kwenye kijambio chako. Si mimi lakini, nimewaskia vijana kijiweni.
Oh ! Dah ! Shiit !
 
Alikuwa pembeni amekupa kibuyu utwange humo umalize apeleke vimbegu vyako akapewe zawadi yake .pole sana unacheza name wachawi wewe.
 
Jamani mlivyo nishambulia mpaka nimeenda kupima nimekutwa niko vizuri kwanzia leo sifungui tena zipu yangu maana duh acha tu!!
 
Hivi anaeanza kumtongoza mwenzake ni nani?
Usijiangalie wewe kama wewe but angalia jamii kwa ujumla wake

bold.. kwa dunia ya sasa ram, mfumo wa utongozaji umebadilika sana! sio kama zamani kwamba mwanaume ndio alikuwa na jukumu la kumtongoza mwanamke, tena kwa lengo la kuoa sio kuchezea. enzi hizi, si mwanamke, si mwanaume, wote wawili ni waharibifu katika mahusiano!

mwanaume atatongoza kwa maneno na pesa zake, clearly by oral means..

mwanamke nae atatongoza kwa matendo yake atakayofanya kwa mwanaume, ikiwemo mitego mbalimbali ya kimavazi, vitendo atakavyofanya na hata ikiwezekana kutumia wanaume kwenda kufikisha ujumbe..

jamii ya sasa ram iko kisayansi na teknolojia... tulaumiane sote tu, wala si upande mmoja!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Hapo sawa kama ni kulaumiana wote, manake niliona lawama na madhaifu yote unawatupia wanawake

ok poa ram.. naja piem tusalimiane vizuri! teh! si unajua hii sebule bana!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom