40. Kwanini 40

40. Kwanini 40

Hili swali na mimi nimeulizwa leo nimebaki naduwaa...nikaingia google nikaletwa hapa jeiefu!!!

Hata jeiefu nayo ni gugo...

Halafu kaka jana tumepishana mitaa fulani sidhani kama ulinigundua kachero mimi...

Ilikuwa jioni jioni hivi kama saa 11, sote tulikuwa tumepanda TZ 11
 
Hata jeiefu nayo ni gugo...

Halafu kaka jana tumepishana mitaa fulani sidhani kama ulinigundua kachero mimi...

Ilikuwa jioni jioni hivi kama saa 11, sote tulikuwa tumepanda TZ 11

Ngoja kwanza nimekugunduaaaaaaa....aisee...si maeneo ya pensheni pensheni hivi (if you no woram saying!??)!!!
Nilikuwa naelekea nilikopaki 'MO' yangu mkuu parking karibu na ofisi imekuwa shida sana...!hahahahaha

ngoja niitafute dayari yangu ya 2013 mara zat zat...
 
Ngoja kwanza nimekugunduaaaaaaa....aisee...si maeneo ya pensheni pensheni hivi (if you no woram saying!??)!!!
Nilikuwa naelekea nilikopaki 'MO' yangu mkuu parking karibu na ofisi imekuwa shida sana...!hahahahaha

ngoja niitafute dayari yangu ya 2013 mara zat zat...

Hahaha!!

Ni karibia na hapo kidogo ila sidhani kama ulinitambua maana ulinipita kama dereva mwenye gari kimeo kamuona trafiki...
 
The spies searched the land of Canaan for 40 days (Numbers 13:25).
Therefore, God made Israel wander for 40 years (Numbers 14:33-34).
40 stripes was the ..........................................
:help::help::help::help:
 
in hebrew language

In my Torah studies I keep running across the number 40 - for example,
Moses on Mount Sinai for 40. ... The number 40 has great significance
throughout the Torah and the Talmud. The number 40 represents transition or ...
Immersion in a mikveh is the consummate Jewish symbol of spiritual renewal.
 
Kwa kweli 40 ilianza zama nyingi sana nimejiuliza sana nikaja na jibu langu, huenda zilikuwa zinatumika hizo siku 40 kama mwezi ( monthly )
Lakini karibu dunia nzima forty days wanaitumia mpaka wahindi,warusi, pia dini zote,
Wameenda mbali wengine kama premier league ni timu 20 kucheza home and away,
Mbio za farasi wawe 40 tu. Strange but true
 
Nisaidie kujibu Swali Hili! "KWA
NINI 40?"
Akizaliwa Mtoto Anatolewa Nje
Baada Ya Cku 40,
Mtu Akifa Siku Ya 40 Anafanyiwa
Ibada/Matanga. NUHU Alitengeneza
Safina kwa Muda Wa Miaka 40!
Mvua Ya Garika Ilinyesha Cku 40!
Za mwizi 40,
Waisrael Walikaa Nyikani kwa Muda
Wa Miaka 40,
YESU Alifunga kwa Cku 40,
Marekani Rais Anaapishwa Baada
Ya Cku 40. Hebu Leo Nipe Jibu
"kwa Nini 40?"

It is more spiritually,jaribu kufatilia mafyndisho ya mwalimu mwakasege utapata jibu,yesu pia alifunga siku arobaini,musa alipanda mlimani kuomba kwa muda wa siku arobaini
 
hiii hapa zamani tuliita kompasi
images

siku hizi imebadilishwa sijui inaitwaje.

au uchore nembo ya freemason kabisaa:rolleyez:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom