Recent content by vanquisher

  1. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani ulilonusurika na ukaamini ni mkono wa Mungu umekunusuru?

    lee van cliff, MUNGU yupo jaman kwa yaliyonitokea hakika alisimama mwenyewe mtu anakupa tuhuma za uongo na zaidi ni za jinai kubwa ila anasuka maneno na ushahidi wa uwongo hatari sana.. sitakaa nimuamini tena kiumbe kinachoitwa mwanaadam . yaani yalivyonikuta ndio nilielewa kwanini misholi...
  2. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Mlioshuhudia vita mbalimbali njoeni mtupe uzoefu

    Ivonovsky da White, vita gani boss unataka uadithiwe maisha ya africa tu ni vita tosha
  3. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Trump kakurupuka. Na wamerekani wako njia panda

    ongeeni yote ila kuangusha babalao USA si rahisi hivyo kwa sasa wameshindwa kumlinda kamanda wao leo wakapigane na usa hiyo ni ndoto wakishtuka asubuh teyar....
  4. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Askari wa jeshi la Magereza wanatia huruma, Serikali sukeni upya hili jeshi

    5997, ndugu yngu taasisi zote za usalama serikalini haziwezi kufanana ingawa zinafanya majukumu yanayolingana au kukaribiana kufanana hata kwenye familia kuna watoto pedwa na wale ambao wapo tu ndo maisha hayo..
  5. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mradi wa ujenzi wa mabasi Mbezi Mwisho?

    kwenye ule mradi kuna ujanja janja sana hivi karibuni nilitembelea pale kutafuta kikazi kama fundi bomba isee nilichokiona na maelezo niliyopata pale nilichoka kwanza kazi unauziwa na foremen pesa hadi kuipata ni taabu balaa .... kifupi pale ni wanapiga tu wanaopigwa ni wa chini.. bongo bhana...
  6. vanquisher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tusiojua kubembeleza tukutane hapa kushare changamoto tunazokutana nazo

    uuuweeeeeh...! na magoti tena.
  7. vanquisher

    JamiiForums Tanzania NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

    Nyie NHIF mnazungumzia masikini yupi wa Tanzania anayeweza kutoa laki 5 kwa ajili ya bima kwa mwaka?
  8. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Makato ya kutoa pesa ni makubwa, 14% ya unachotoa sio fair

    ingawa makato makubwa ila njia hii ya kutuma na kupokea pesa kwa simu ni rahisi sana na inaokoa muda na gharama kubwa zaidi..
  9. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri NIT akiri kumuomba rushwa ya ngono Mwanafunzi wake

    mzee kakosa ila natafakari mpaka kafika umri huo kashaharibu wanafunzi wangapi haya mazee aibu sana..
  10. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza limekuwa kero sana sasa

    siasa mbaya sana siku hizi kuanzia graduate hadi kazi za chini ni machinga barabarani na bado kuanzia leo graduate wengine wanaingia mtaani tena nakuhakikishia baada ya miaka kumi vijana wengi watakuwa wamechanganyikiwa na maisha si ajabu hii nchi itakuja kupitia mapinduzi makubwa sana ya siasa...
  11. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Sani Abacha: The economic figure in Nigeria

    mzee viagra imemuua hatari sanaa...
  12. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokutana na nyoka

    km mazingira yk yana nyoka sana dawa yao ni ndogo sana mwagia oil chafu kuzunguka hilo eneo au km ni ndani ya nyumba mwaga mafuta ya taa kwenye kingo za kuta km ni majumba mabovu choma mpira hapo nyoka atakuomba msamaha bila kupenda.. pia siafu na sisimizi ni adui za nyoka hawapatani hata...
  13. vanquisher

    JamiiForums Tanzania Waungwana naombeni msaada na ushauri wenu

    wakuu bado mambo magumu...
  14. vanquisher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupiga, kupigwa au kugombana kwa ajili ya mapenzi? Tukutane hapa

    dah.. ww mpole sana tuishie hapo..
  15. vanquisher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake huvutiwa na kitu gani kwa mwanaume ukiachana na pesa?

    muneera75, Nyie wenye mashart kama waganga wa kienyeji ndio mnakuwaga na mapungufu mengi sana.
Back
Top Bottom