Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,879
- 18,168
Swali hili lilimsaidia mtoa mada kurekebisha data zake!Unauliza serious..?
Maans yote kaandika hapo..!!
Swali hili lilimsaidia mtoa mada kurekebisha data zake!Unauliza serious..?
Maans yote kaandika hapo..!!
Mungu akusimamie upate.....
Pia jaribu kipitia pitia kwenye websites za ajira ukikuta kazi ambayo sifa zake unazo tuma tuu
Ndugu 2na wasi na uelewa wakoUna umri gani na umefanya kazi kwa muda gani katika kampuni ya Kiasia?
Mpumbavu! Kwa nini hujiulizi kiini cha maswali yangu?Ndugu 2na wasi na uelewa wako