Recent content by vanmtarta

  1. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Huyu anataka kuolewa sio kula ujana... ila kwa vigezo hivyo lbd ampate mgane
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati serikali iruhusu bangi, tumechoka kuvuta kwa kujificha!

    Kazi ipo...hiyo sigara tu imeandikwa ni hatari kwa afya yako sasa Bangi si wataandika kifo ni haki yako, Mkuu bangi ni mbaya...hao uliowasema inawezekana wanavutia chooni
  3. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Hahahahaaa mzee umemaliza
  4. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Kabinti?...asingetafuta 36-40
  5. V

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati serikali iruhusu bangi, tumechoka kuvuta kwa kujificha!

    Hata ulivyo Post Inaonyesha umevuta kwanza....kweli bangi nibangue
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amenizidi mshahara

  7. V

    JamiiForums Tanzania Sijisikii kumpenda tena, lakini namuonea huruma kumwacha

    Ongea nae kama mwanzo ulivyoOngea nae wakati wa kumtongoza...lakini kulazimisha moyo upende hiyo ni mbaya. Mtafute wakati akiwa na Furaha mueleze na mpe na sababu za kulazimisha penzi awe huru,
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kevin Hart amnunulia Ex-Wife wake 2015 New Escalade siku ya Birthday yake

    Hahahaaaa acha matusi kwa wanaume,hicho kivulana kilikupa stress afu unatuchafua wanaume
  9. V

    JamiiForums Tanzania Motor vehile ya Verosa kwa sasa ni shilingi ngapi?

    Wastani ni sh 230,000
  10. V

    JamiiForums Tanzania Shibuda si riziki CHADEMA

    Ndio maana Ccm waliona kimeo,sijui kwa nini wananchi wa maswa hawalioni hilo.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

    Siasa noma kweli,sahivi V8 hazina maana kabsaaa
  12. V

    JamiiForums Tanzania Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

    Hahahaaaa
  13. V

    JamiiForums Tanzania Poleni wasichana kwa mtihani huu

    Ni rahisi kumpata mwanamke kama tu unapojieleza unampa uhuru wa kukuuliza,wanawake wengi wanampima mwanaume kwa kuongea kwake ile siku ya kwanza,baada ya hapo kitandani....hizo mbwembwe za kazi nzuri,pesa baadae sana kwani hamjaona mwanamke yuko na mumewe mambo safi lkn anachapwa na kuli wa pale...
  14. V

    JamiiForums Tanzania G. Lema anaongoza vurugu muda huu katika kituo cha kupiga kura Osterbay Arusha

    Bado fumulesheni haijapatikana. Tayari kwetu chama cha maembe kimekuwa chama cha upinzani
  15. V

    JamiiForums Tanzania le mutuz atoa tamko kuhus le mtindiz wa diva

    Nilisikia anaumwa
Back
Top Bottom