Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

Mbunge wa mvomero, Mh. Amos Makalla akitumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake.
Unazungumziaje harakati hizi za wabunge kipindi hiki tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu?

hizi ni mbwembwe tu na tutaona nyingi hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Haaa hivi hata aibu hakuna miaka minne yoote ilikua ni mwendo wa mashangingi sasa leo mtu kaibuka na bodaboda NARUDIA TENA HATA MPANDE FISI hatudanganyiki!!!!!!
 
Wamechepuka pia manake wako nje ya barabara

Nahisi picha hii ilikuwa ni ajili ya 'picha'....ni ukweli ulio wazi kuwa bodaboda haiko njiani kwake...majani yamechipua kabisa itakuwa njia kweli hiyo?
 
Mbunge wa mvomero, Mh. Amos Makalla akitumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake.
Unazungumziaje harakati hizi za wabunge kipindi hiki tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu?

Siasa noma kweli,sahivi V8 hazina maana kabsaaa
 
Back
Top Bottom