MatikaC
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,190
- 479
kwahiyo sie tunaovutia sana hapa sio mahala petu duuu... au unaogopa kuibiwa
mnaovutia mara nyingi mnakuwa hamjabeba sehemu husika pale kati
kwahiyo sie tunaovutia sana hapa sio mahala petu duuu... au unaogopa kuibiwa
We bado ni kabinti
Embu tuasume wewe ni gari na uko sokoni....Sisi serious buyers tungependa kujua yafuatayo;-
- Kwamba wewe ni model ya mwaka gani?
- Made in wapi?
- Kwamba wewe ni manual (kwa matumizi ya shamba tu) ama ni auto (kote kote i mean)
- Mashine inasoma ngapi kwenye dashboard(kwa maana ya umedate mara ngapi)
- Umewahi kushusha Engine/umewahi kufanya over hall (kutoa mimba)- kama ndio mara ngapi?
- Mara ya mwisho umefanya service lini(Kupima)
- Na kwamba ni watumiaji wangapi walipata kumiliki gari hili/kuoa.
- Taja sifa za ziada kama mwendo wako kwenye 6/6.
- Body type
- Colour
- Una turbo kidogo ama ni flat clossed saloon.
mnaovutia mara nyingi mnakuwa hamjabeba sehemu husika pale kati
tatizo mwanaume akiwa mzur shida...kama ww mzur,na mm mzur,haitafaa.....ndo maana nikahitaji mwenye wastan kama mimi
Kabinti?...asingetafuta 36-40
madai yao wakiwa na watu wa age hiyo hakuna stress kwa saana, na huwa wanasikilizwa.
Duh hiyo miaka wengi wao tayari wako kwenye ndoa zao
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.
Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.
Karibuni,kejeli sio nzuri
tatizo mwanaume akiwa mzur shida...kama ww mzur,na mm mzur,haitafaa.....ndo maana nikahitaji mwenye wastan kama mimi
Mimi vyote hivyo sina ila kitandani tu utalia nyau manake nina mtulinga wa kufa mtu
Weka sifa na haiba yako hadharani, acha kujificha nyuma ya pm, huko yatajitokeza matesta uishie kutestiwa bila kusajiliwa.
Dah sifa zote ninazo, ila hicho kigezo cha umri shidaaa