Mke wangu amenizidi mshahara

Mke wangu amenizidi mshahara

Hahahahhahahaha....dah!imebidi nicheke kwa mshangao tu...kwa hiyo lengo ni wewe kukua kiuchumi au mke wako adumae kiuchumi??
 
Wadau,

mke wangu amenizidi mshahara, kwa mfano: kama mimi napokea mshahara sh laki moja basi yeye anapokea laki mbili-ukijumlisha na house allowance, transport na pesa nyingine zisizo na kichwa wala miguu.

Hii kiukweli siipendi kabisa toka muda mrefu kama mwanaume, sasa nimekuja na mkakati ufuatao wa kumzidi kipato mke wangu ntahitaji mawazo yenu.

Nataka nimshauri mke wangu aende akachukue mkopo bank (mkubwa tu kwa mshahara wake) na baada ya kumchukua mkopo ukichanganya na akiba tuliyonayo nataka tufungue kampuni( tayari nimeshaanza michakato michakato) ambayo mimi nitakuwa msimamizi mkuu wa uendeshaji wa kampuni. Mapato yote yatakayokuwa yakiingia mimi ndio nitakuwa controller kwakuwa yeye kazi yake inambana sana na hawezi kupata nafasi ya kufatilia kwa undani sana biashara inavyoenda.

Kwa mkakati huo hapo juu basi mke wangu atakuwa anakatwa pesa bank kutoka kwenye mshahara wake (kwa miaka mitano mfululizo) huku mimi mshahara wangu ukiwa vile vile-hapo nitakuwa nimeshampiga pigo la kwanza

Kwa kipindi hicho chote mi ndio nitakuwa controller wa ofisi na mpaka inaisha hiyo miaka mitano ya kukatwa pesa ya mkopo na bank basi kampuni yetu itakuwa imekwisha simama na ina generate faida nzuri hivyo hata akishamaliza mkopo na kuanza kulipwa mshahara wake mi nitakuwa naingiza pesa nyingi kwenye kampuni-Pigo la pili


Kampuni isipofanikiwa nitafanya nini?
Nitanunua kiwanja, baada ya hapo nitamwambia akachukue mkopo tena bank mkubwa mara dufu ya ule ambao atalipa hata kwa miaka 10, kisha tunajenga apartments za kupangisha mi ndio nitakuwa mpokeaji wa kodi.

MWANAUME NI MWANAUME TU WADAU, USIKUBALI MKE WAKO AKUZIDI PESA ATAKUWA NA

Umefikilia kupitia Tumbo na sifa za kushiba...
 

Attachments

  • 1427312177060.jpg
    1427312177060.jpg
    66.8 KB · Views: 300
mwanaume suruali wewe,yani unataka upate hela kwa mgongo wa kumu intimidate mkeo???
Real.Men never do this,
we mwanaume kweli pambana umzidi hela mkeo bila kumdidimiza,js do ur thing by urself
 
A succefull MAN z the one who can make more money than his wife can spend & A succeful WOMAN is the one who can find such a man!
 
Thats a good idea Hommie just move foward an wishing you best luck cause a Men always stands in top then ooooohh my..? They follow
 
Back
Top Bottom