Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

Haaaaa sio mzaramo bhana hao wakina Mutalemwa ndio wanaandikaga hivyo kwikwikwi
Wewe dada na wewe ni kabila gani(wanahandikaga)boya wewe jifunze kabla ya kukosoa mlungo dvs 5 buku saba wewe.
(Wanaandikaga)
huwa wanaandika.


Swissme
 
Inaonekana huyu mtoto ana "kisukumi" ukijichanganya nae ujue utatangulia tu.

kwelieee!!!
kakwenda na JJ AF NOW kakwenda na muzee ya MSTUNI ni sheeedddah!!
 
Jamani jamani ulikuwepo wakati anamuua?????
Muacheni bint wa watu apumue basi khaa!!

Lete ushahidi wa yeye kuwa mjane??? mbona mtamuua huyu binti kwa maneno jamani, muacheni basi akae afurahia maisha, kuna watu wengi wanafanya mabaya kuliko huyu binti ila hawasakamwi ila huyu kila uchwao mnamsakama kamewakosa nini haka katoto jaman???i.
Mbona unamtetea sana mjane wa kapteni? Au ndo teamMjane!
 
Apumue kwani uongo ama ni ww id yako mmmm

mjukuum nadhani ulikuwa unamjibu Apologise lady anayemtetea mjane wa kapteni! Jaribu kureply with quote.

Niwe mimi au sio mimi, lakini naendelea kusema kaacheni kabint kawatu kapumue, hapo mlipo macho yanawatoka kwa kukatamani alafu mnajifanya kukakandia, tuseme ukweli ajitokeze LULU hapo aseme anasaka bwana, hapa si mtaangukiana kwa kumkimbilia. anyway najua uzuri ndio sababu yakumshambulia lulu.
 
ilani ukimtokea lulu acha USIA wa uridhi mapema maana Dogo huyu ni hatari zaidi ya Ebola
 
Husipende kujaji kitu husichokijua ndo maana wakasema husilolijua ni usiku wa giza.

Du! Wahaya mnapata shida san na Kiswahili hiki.

Jitaidini kunyoosha maneno kwa usahihi.

Usi=Husi!
Yaani hamtofautishi kati ya U & H. Just like Germans. W wanatamka V,
 
Back
Top Bottom