Recent content by van_obi7

  1. V

    JamiiForums Tanzania Yahusu wafufuao wafu na misukule

    Nabii wa Mungu kampa mimba mke wa mtu,,, heheheeee....!!! Mbasha giv up broo
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mama na mtoto wananipenda nifanyaje?

    Hahahaaaaaaaa... broooo broooo umetoa point tupu
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ajali ya lori na DCM eneo la External jijini Dar yaua

    Iyo ni kweli ni maeneo ya garage toka external
  4. V

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    Nimepatwa na mshituko... alificha mali za milion 200 na hapo alipolazwa icho chumba mbona kama kibiriti...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kwa haya FIFA mmenidanganya

    True boy... ni ukweeeeeel mtupu Neur alistahili
  6. V

    JamiiForums Tanzania Amini Usiamini, huyu dada ana date na kaka yake wa damu, dunia imeisha jamani

    Hahahaaaaaaa... umetisha blaaaaaa
  7. V

    JamiiForums Tanzania Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    Kuna dem chuon alikua anamponda mchiz kwa tabia zake za bange n.k na kutaka kua na mie kwa sababu ya kukubalika kwa kipaj flan iv pale chuoni.. japo nilikaa kidizain coz nilikua na njaa kwa kipind iko coz nilishapigwa kanzu na mafundi bt nilimfikilia sana kwa maamuz yake nami nikajiweka atention...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Hahahaaaa, limbwata
  9. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Na ukimshauri munagombana tena na siraha anabeba, sasa naisi kafanywa vibaya huyu kijana.. aaambiliki
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Ndugu yangu angekua hata na elfu 50 nisingwshangaa... choka mbaya na jamaa ndo kampangia watoto wake chumba chao na yeye na huyo mama chumba chao.. na mtoto wa kwanza na wa pili wa Huyo mama jamaa anaweza oa kabisa
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Mfano kuna rafiki angu nimekua nae na kwa sasa anajishughulisha na biashara hapa Dar, ki umri ni miaka 28 ivi ila mpaka sasa sijamwelewa maamuz yake maaana anaishi na mwanamke aliyemzidi ki umri na anawatoto wa5 ivi ambao co wa mshikaji
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Kwa mfano nilikua naishi na mwanamke Wangu tukajaliwa kupata mtoto.. ghafla unakuja kubadilika una cheat nje mi nakuja kujua unafikili utaniambia nini nikuelewe
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Ni kweli wapo baaadh wanafanya ivyo... ila asilimia kubwa ya wanaume hawawez kuvumilia na kurudi walipotoka ikiwa alishaumizwa..
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Asilimia kubwa wanaume wanakua na misimamo... wakishaumizwa hawarudi tena
Back
Top Bottom