Recent content by VAN HEIST

  1. VAN HEIST

    Tanga na Twiga cement ni mtego kwa nchi

    Je,? Unafahamu production capacity ya huaxin ni karibu mara 2 zaidi ya tanga cement, huaxin ni 4500tpd na tanga ni 2500tpd,na bado huaxin ana expansion project ya kumuwezesha kutoa 4500tpd kwa hiyo jumla ni 9000tpd kiwango ambacho hata tanga na twiga wakiungana hawafikii
  2. VAN HEIST

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Kabla ya kugundua hii niliambiwa nibaidilishe plug, wire na coil nikafanya hivyo lakini havikufua dafu. Nikaamua nifanye uchunguzi wangu binafsi nikagundua shida ilipo.
  3. VAN HEIST

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Rav4 Yangu iliwahi kupata shida kama hiyo na tatizo lilikuwa ni Engine coolant sensor, baada ya kubadili ikakaa vizuri
  4. VAN HEIST

    Mechanism inayotumika kucontrol izi taa za kuongozea magari (traffic light)

    Unataka kutuchanganya tuu wewe.. ingia google lete tafsiri yake humu tukuelewe hayo mafaili yako baki nayo. Lakini mkuu hivi si tumeambiwa eti mnacheza navyo sana kuanzia mwaka wa kwanza hapo DIT, mafaili utayapata kweli?
  5. VAN HEIST

    Swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie

    aisee hii movie sio superfeo tu ni magari mengi sana
  6. VAN HEIST

    Njoo tujadili kuhusu: Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za AMD

    ryzen 5 ina perfomance sawa na core i5 8600k zinapishana kwenye baadhi ya maeneo kwa mfano i5 hiyo ni "light" weight threads(zipo 6 na core zipo 6) ila kwa amd ni "heavy" weight threads (zipo 12 na core zipo 6) ila mara nyingi intel ni standalone ila kwa amd perfomance inategemea na uwepo wa...
  7. VAN HEIST

    Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

    torrent (pirates bay) utaipata crack huku kwenye sites nyingine ni miyeyusho tu zinakua free trial
  8. VAN HEIST

    Series (Special thread)

    moja kati ya series nzuri za mwaka huu
  9. VAN HEIST

    Series (Special thread)

    haikutoka mkuu kwa namna ilivyoisha sidhani kama kuna mpango wa kuongeza season nyingine
  10. VAN HEIST

    Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

    kuna huu uzi wa kitambo kidogo Unahitaji ku scan computer kwa COMMAND prompt? kama ukishindwa kwa njia hii jaribu ku install malwarebytes halafu scan computer yako ikishamaliza fanya ku quarantine infected files uzi wa hivi karibuni siupati ila naendelea kutafuta
  11. VAN HEIST

    Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

    hiyo ni trojan virus fanya kuscan computer yako pia unaweza kujaribu kutoa virus kwa kutumia cmd, kuna uzi ulishawekwa huku jukwaani
  12. VAN HEIST

    Series (Special thread)

    breaking bad blood and oil narcos el chapo snowfall gangland undercover power
  13. VAN HEIST

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    tatizo la huyu dogo hayuko consistent game moja anafanya vizuri inayofuata anaboronga
  14. VAN HEIST

    Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

    hahahaha wakikukamata watagawana mali hizo
Back
Top Bottom