Swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie

charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,936
2,000
Wanazingua... Hahahah minyimbo ya injili wakat sie wengine waislamu.. Alaf muvi zenyewe zimepauka kwel hadi New force ndio zao
Habari wana JF,

Hili swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie hizo hizo tangu mwaka uanze linakera. Inapoteza maana ya kuwa moja ya burudani kwa wasafiri. Mfano mabasi ya Super feo na Selous yaneyoenda Lindi,Mtwara, Masasi,na Songea toka Dar magari yote nyimbo na movie ni zile zile tangu mwaka uanze....Inabore...nyimbo na movie za zamani na hazibadilishwi...
 

VAN HEIST

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,432
2,000
Superfeo wana movie yao nyingine yupo JB, Majuto na Shamsa. JB anataka kumuoa shamsa binti ya majuto. Nemeiangalia sijui mara ngapi? safari inakuwa ya kuchosha sana.


aisee hii movie sio superfeo tu ni magari mengi sana
 

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,206
2,000
Mazingira uliyoyataja hayo mabasi yanapokwenda ni maeneo ya wakimbizi mfano songea (ngoni) hivyo mshukuru ata kujirudia kwa movie la sivyo mtazimiwa
Nenda mwanza panda dar lux au abood ushuhudie maajabu
 

B49

Member
Sep 20, 2018
75
150
Hyo mmepewa favour tu Kwn huko kwenu hamuangaliagi movie mpk nataka mkaangalie kwenye gar?
kaz yao ni kukusafirisha na kuhakikisha Unafika salama hayo mengine utayapata hotel za five star
 

Mis powers

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
2,367
2,000
Zile CD huwa zinafanana kwa mabus mengi, utadhan kuna mtu anaburn zile Cd alafu wanauziwa wenye mabus tu. Zinakera kwel
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom