Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
500
Natumaini mpo salama, nimekuwa nikiona hiki kitu kwenye computer yangu nashindwa namna ya kukiondoa tafadhali mwenye uelewa anisaidie

C:\window\SysWOW64\msiexec.exe
 

VAN HEIST

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,432
2,000
hiyo ni trojan virus fanya kuscan computer yako
pia unaweza kujaribu kutoa virus kwa kutumia cmd, kuna uzi ulishawekwa huku jukwaani
 

McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,204
2,000
Natumaini mpo salama, nimekuwa nikiona hiki kitu kwenye computer yangu nashindwa namna ya kukiondoa tafadhali mwenye uelewa anisaidie

C:\window\SysWOW64\msiexec.exe
Download karspesky antivirus itaondoa taka taka zote hizo
 

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
500
Mkuu VAN HEIST nilijaribu kupakua malwarebire siku ya juzi nikainstall lakini haikumaliza kuscan kwani nilikuta nachukua masaa 6 na nusu na bado ilikuwa haijamaliza na walikuwa wanataka internet connection na kwa staili hiyo bando la Tsh 2000 liliondoka mpaka nilioamua ku- disable internet connection. Leo nimejaribu bila internet na pia walipotaka Internet connection siku-connect na ni kama nimefanikiwa japo sijapata uhakika na how effective is this malwarebite 3.3.1 free. nisaidie kuhusu iko effective kiasi gani pia naomba namna naweza kuilinda computer yangu maana nilikuta naimini window diffender kuwa isingeruhusu virus kuingia kwwenye computer yangu kumbe nilikuwa najidanganya.

na nimefikia hapa kuhusu malwarebite scan through quarantine
upload_2018-1-9_13-12-16.png


upload_2018-1-9_13-12-47.png

sikujua kama nilikuwa nimejenga nyumba ya virus wengi kiasi hiki.
 

Attachments

  • upload_2018-1-9_13-5-54.png
    File size
    121.2 KB
    Views
    22

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,302
2,000
msiexec.exe sio virus ni part of windows inayotumika unapoinstall programs. Kwanini unadhani ni tatizo?

msiexec.exe. This is Microsoft's Windows Installer program, which processes product installation files in the.MSI format. It normally appears only when invoked by double-clicking on a .MSI file (or having one run automatically as part of an installation process.)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom