Recent content by Vadgama

  1. V

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Nadhani kafany busara sana, majukumu yataongezeka kwa watoto wake wote....maana hakuna tofauti wote ni watoto wake iwe wa kuzaa...bilogical...au wa kuwaasili..adopted....wote ni sawa....hawatofautishiki....ni watoto wake....
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Tv nyingi za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata Flat screen

    Jaribu Qled Samsung tv 61inch 2018
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ip njia salama za kuifadhi vyeti kama naenda kutafuta maisha nje

    Asubiri Angola wakitowa viza zao, aendee kule bado kutakuwa na possibilities.....may b
  4. V

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Canada hawatoi VISA siku hizi au tatizo ni nini?

    Kweli asemacho ndugu yangu. Yametukuta
  5. V

    JamiiForums Tanzania Je bado ujapata wazo la biashara: Pitia hapa upate mawazo (150) ya baishara

    La....una quote yote[emoji26]
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wives are Legends!

    Thanks guys...nimecheka! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. V

    JamiiForums Tanzania Viatu vya kiume Vinapatikana

    Mkuu nimekuelewa......nin kinakufanya udhani havilingani kwa bei? Uhuru ni wake kuweka bei...wewe kama mteja usinunuwe.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. V

    JamiiForums Tanzania Viatu vya kiume Vinapatikana

    Mkuu, ameshasema bei 100k mpaka 150k! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mashine gani nzuri ya kufulia nguo?

    LG 13kg au Samsung's Sent using Jamii Forums mobile app
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nakshi nyumba yako na Tanga stone

    Very good work! Nafurahi inatoka hapo. Huku tunaletewa from RSA...kwa sq m! Hongera sana
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kweli Obama ni muungwana, cheki alichokifanya leo

    Inawezekana uelewa wangu mdogo....hapa tunaongelea specific event.....ya kumpa lift BILL. Hicho tu mkuu mambo mengine yapo out of topic!
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kweli Obama ni muungwana, cheki alichokifanya leo

    Wewe kweli mbaazi! Yaani kwakuwa wamarekani wanamtusi sis pia tufanye wafanyavyo.....kweli duniani kuna.....
  13. V

    JamiiForums Tanzania Bike-surfer: Aussie daredevil rides on water in Tahiti (VIDEO)

    Ndo naona Al jazira!
  14. V

    JamiiForums Tanzania Angellife style

    nimefungua nakidhani ni Trevor ...RSA comedian! kula .... "" kama virutubisho hivo navipata kwenye vyakula hapa bongo. mbogamboga,matunda,viazi, mihogo, mlonge,vitunguu swahumu,tangawizi,mdalasini,as ali,kunde zote . vyote vinapatikana bongo e.t.c" by N Prosper
Back
Top Bottom