Bike-surfer: Aussie daredevil rides on water in Tahiti (VIDEO)

Dotworld

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,035
3,773
55bf339ec3618899608b4570.jpg

He describes himself as a "nutter," and this video is proof that this guy can do crazy wonders! Watch how he surfs the waves in Tahiti… on his motorbike.

55bf33ddc3618879608b4571.jpg

Robbie ‘Maddo' Maddison, 34, posted the stunning surfing video, titling it ‘Pipe Dream'.

-------
cc: Bujibuji Safari_ni_Safari Preta saudari Watu8 Ndibalema Paloma Chimunguru MadameX Kongosho MziziMkavu sakapal donlucchese farkhina Ndahani Erickb52 Baba V Wilbert1974 Kaunga Blaine Elli Arushaone Makanyaga omujubi mwaJ stineriga Bujibuji Heaven on Earth Amavubi Mimi49 afrodenzi Sikonge Elizabeth Dominic Mentor King'asti Abdulhalim Bigirita marejesho englibertm Money Stunna Ab-Titchaz Doppelganger MEANDU Mussolin mshana jr Bulldog rpg platozoom Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui
 
Last edited by a moderator:
Kweli haya ni maajabu.

Nlijua mawimbi yangemwangusha, cha ajabu jamaa hakuanguka!
 
Mkuu niliona leo asubuhi kwenye mtandao, kwa kuwa nilikuwa natumia simu ya mkononi sikufatilia sana - hapo hakuna cha uchawi wala nini sijui ni kanuni tu za kisayansi - kwanza ukiangalia kwa umakini mbele na nyuma ya magurudumu kwa chini kuna vi-skii actually skii ya nyuma hiko extended kutoka kwenye tairi la nyuma mpaka karibu na injini kwa chini imechukua surface area kubwa 4 a reason, alafu tairi la nyuma limewekwa grooves/kashata nene ili zifanye kazi za ku-screw maji kama (panga boi) - sasa kisayansi (fluid Mechanics) kwa speed anayoingia nayo majini akiwa na attached mini-skiis unafanya maji yanakatae kuwa compressed (hiyo ni kanuni ya sayansi - uwezi ku-compress maji) hivyo kwa speed hiyo kali mpanda pikipiki ana-feel kama anaendesha piki piki juu ya mwamba, akipunguza kasi atatumbukia - labda niongezee kidogo kwamba kanuni hizo ndio ufanya ndege zinapo anguka baharini/majini kwa kasi upasuka vipande vipande kama vile zimeanguka nchi kavu!!

Kanuni zinazotumika kwenye water skiing ndio zinatumika kwenye mpanda pikipiki huyo, tofauti ni kwamba wanamichezo utegemea mawimbi ya baharini kuwapa speed ya ku-skii na kuelea - mawimbi yakupungua wanatumbukia na ma-skiis yao, altenatively unaweza kuvutwa na speed boats ukiwa umevaa skiis, hiyo itakufanya u-float kwenye maji na ku-skii at the same time, speed ya boat ikipungua unatumbukia majini. Thanks 4 the clip.
 
Hiyo ni justification ya kisayansi sina tatizo nayo kabisa... Ila huyo aliyepewa kufanya hiyo operation hiyo daring heart yake ndio pepo lenyewe
 
Nikweli mkuu jamaa ana nerves of steel, unajua kwa kasi ile akidondoka majini kitu cha kwanza kuvunjika kirahisi ni shingo - hawezi ku-survive hilo likimtokea - ni hatari SANA!!
 
Back
Top Bottom