Viatu vya kiume Vinapatikana

Viatu vya kiume Vinapatikana

Mwisho wa mwezi napitia vitenge vya bi mkubwa si bado vipo eh????????
 
Umeenielewa lkn nilichomuuliza au?
Nimeelewa bei ni hio 100k kwa 150k ila ktk hivyo viatu alivyotupia hapo kuna vingine havilingani na hiyo bei labda amuotee msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu nenda kanunue vinakolingana na bei haujalazimishwa, wanaoona vinalingana wananunua wewe kanunue huko mbona swala dogo tu, ni kupambana na hali yako tu.
 
Tatizo lako misstrace unapenda ligi ya maneno sana badala kuwapa potential buyers majibu waliyokuuliza.
 
Tatizo lako misstrace unapenda ligi ya maneno sana badala kuwapa potential buyers majibu waliyokuuliza.
Sio wote wanaojua hizo sales personal process mkuu jamaa kamuuliza mistrices vizuri tu ila jibu alilopewa haliendani na mfanyabiashara anyway ndivyo tulivyo waafrika.

Sent using Iphone 7+
 
Haya Wanaume hatujawaacha nyuma
Pure leather
100,000/= hadi 150,000/=
Ukiitaji kwa picha zaidi
WhatsApp/Call/Text

0629226770

Wamikoani Tunatuma
Dar unaletewa ulipo
Namba 6 vya Rangi ya ""Damu ya Mzee"" unauzaje?

Na Namba 9 vya Mkono wa ""Kulia wetu"" ni Sh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom