Msaada: Mashine gani nzuri ya kufulia nguo?

Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,455
1,657
Wakuu heshima yenu....nataka nimnunulie shemeji yenu Mashine ya kufulia...sasa sins uzozefu nazo kabisa ninunue gani? nasikia kuna Washer sijui na nyingine gani? kifupi nataka kutumia kufua nguo za aina zote ikiwemo majinsi yanguu..naona yanamtesa sana...msaada kwa wanao jua je ninunue Dry Mashine au gani ingine?

Thanks
 
dah...inamaana hakuna wajuzi wa hii kitu humuu....
 
Mi ya kwangu ni Hitachi, inafua na kukausha hapo hapo. Hasa nguo nyepesi kama mashati, ndo ukimaliza kufua unapiga pasi unavaa, niliinunua tangu 2008 hadi leo ni nzima inapiga kazi kama kawa. Niliinunua hapo mlimani city kuna wakala wa Hitachi hapo anakupa na warranty.
 
Mkuu weka na bei

JMP KAMATA WEZI
 
Mkuu weka na bei

JMP KAMATA WEZI
Sasa mkuu nikupe na bei ya tangu 2008 kweli? maduka huyaoni ukauliza? mi nilinunua 550000/= enzi hizo , leo zinafika kuanzia laki saba hadi milioni huko...nunua ni nzuri hazili umeme kama pasi.
 
Wakuu heshima yenu....nataka nimnunulie shemeji yenu Mashine ya kufulia...sasa sins uzozefu nazo kabisa ninunue gani? nasikia kuna Washer sijui na nyingine gani? kifupi nataka kutumia kufua nguo za aina zote ikiwemo majinsi yanguu..naona yanamtesa sana...msaada kwa wanao jua je ninunue Dry Mashine au gani ingine?

Thanks
Wheel pool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu nikupe na bei ya tangu 2008 kweli? maduka huyaoni ukauliza? mi nilinunua 550000/= enzi hizo , leo zinafika kuanzia laki saba hadi milioni huko...nunua ni nzuri hazili umeme kama pasi.
Ebu acha zako...hizo..
Bei kuuliza ni chanzo cha makadirio...

Pia inasaidia mtu asipigwe akienda dukani...

Pia, Thanks kwa kunijibu. Never mind mkuu.

JMP KAMATA WEZI
 
Back
Top Bottom