Tuseme ukweli: Tv nyingi za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata Flat screen

Wengi mnamshambulia mleta mada kwa mazoea. Anachosema kina ukweli ndio maana hadi leo flat screens watengenezaji wanahangaika ku-improve picture quality. From plasma to lcd to led sd then hd now wapo kwenye UHD HDR yote kuomarisha muonekano.
 
Wengi mnamshambulia mleta mada kwa mazoea. Anachosema kina ukweli ndio maana hadi leo flat screens watengenezaji wanahangaika ku-improve picture quality. From plasma to lcd to led sd then hd now wapo kwenye UHD HDR yote kuomarisha muonekano.
Nunua kitu original tu
 
Jaribu Qled Samsung tv 61inch 2018
mimi nakushauli wewe uwekemo star tv au tbc humo,kama hujaanza kumtafuta mchawi,

tv za kisasa ni hd,tunaanzia 480p kuendelea,chinini ya hiyo resoln haifai humo kabisa.
 
Mkuu nakusihii urekebishe hiyo kauli yako pia ningekushauri tembelea maduka ya Samsung mjini ufanye hata window shopping. Ulizia samsung led series 12 check picha alafu rudi kwenye hiyo chogo. Usije fananisha Samsung LED na chogo hata kwa mbali ila ukiongelea chogo na singsung kina mr. uk kina TLC hapo sawa mkuu. Pia zingatia aina ya channel unazo angalia kwenye hiyo Flat usije angalia TBC kwenye flat ukataka ifanane na chogo. tafuta channels HD au zina rusha matangazo kwa mfumo wa HD ndio utaelewa wapi tofauti ya technologia hizi mbili. Pia kama ni mpenzi wa miziki au movie nenda Youtube download video zilizo kwenye format ya 720p au 1080p alafu kaangalie kweny hiyo flat na weka chogo pembeni. then ulete mrejesho hapa
Hahahah eti kina mr.Uk
 
Nunua flat yenye screen resolution 1080 then ulinganishe na chogo
 
Kuna tv flani zinaitwa Boss ni msala kwa ubora wa picha, huwezi kuilinganisha na uchwara chogo
 
Flat screen ulizoangalia ni "SINGYONG" hizo,Nunua kitu Original Samsung Smart LED 55" upate King'ambuzi HD ukaconnect na HDMI cable unaweza ukadhani upo uwanjani Russia.
 
Wewe, sema tu huna pesa mkuu au kama sivyo unachukua ile Mi -Tv feki Pata
kitu Kinaitwa WHAFEDALE ORIGINAL halafu ulete mrejesho hapa.Mimi hii ninayoitumia sijui
ni inch ngapi lakini kama sio 42 basi ni 60, yaani baalaa. Nimeipata kwa milioni 4.
Na hili ni gazeti
 
Back
Top Bottom