Je bado ujapata wazo la biashara: Pitia hapa upate mawazo (150) ya baishara

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,024
3,585
COPY and PASTE from HILARY MBONDE

[http://1]

Watu wengi wamekuwa wakiangaika hama kuwauliza watu wao wa karibu ni biashara gani afanye au ukimuuliza ni biashara gani unataka kufanya atakuambia mimi nataka kufanya biashara yoyote ili mradi tu iwe inaniingizia faidi. Kuwa maalum(specific) na usipende kufanya biashara yoyote kwani kama ujui unataka kwenda wapi basi uelekeo wowote utakupeleka usipotaka. Si mawazo yote yatakuwa sawa kwako,chagua wazo moja tu la biashara na uanze kulifanyia kazi na uanze sasa kwa kutumia chochote ulichonachoo usingoje kuwa na fedha nyingi ndiyo uanze.Chagua eneo gani upo vizuri na kuchukua hatua sasa.

1.Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.

2.Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.

3.Kutengeneza na kuuza tofali.

4.Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.

5.Kuanzisha kituo cha redio na televisheni.

6.Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.

7.Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k

8.Kushona na kuuza nguo.

9.Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali.

10.Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng?ombe, Kuku, Bata, na wengine.

11.Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.

12. Kutoa ushauri mbalimbali waKitaalamu.

13.Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.

14.Kusajili namba za simu na kuuza vocha

15.Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta

16. Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.

17.Kuuza Mitumba.

18.Kusimamia miradi mbalimbali

19.Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali.

20.Kufungua banda la chakula na chips.

21.Kukodisha turubai viti na meza.

22.Kufungua Supermarket.

23.Kufungua Saluni.

24.Kufungua Bucha.

25.Video Shooting & Editing.

26. Kufungua Internet cafe.

27.Duka la kuuza matunda.

28.Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.

29.Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati.

30.Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT.

31.Kuchapa vitabu, bronchures, n.k32.Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor).

33.Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k.

34.Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.

35.Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.

36.Kukodisha Music

37.Kuanzisha Mradi wa Taxi

38. Kuanzisha mradi wa Daladala.

39.Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.

40. Kununua magenerator na kukodisha

41.Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu.

42. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP).

43.Kuuza mabati na vigae

44.Kujenga apartments

45. Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote.

46.Kufungua Duka la samaki.

47.Kufungua Duka la nafaka.

48.Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.

49.Kujenga hostel

50.Kuuza vocha na vingamuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.

51.Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.

52.Ufundi simu

53.Kufungua Hospitali, Zahanati.

54.Maabara ya Macho, Meno

55. Kuchimba/Kuuza Madini

56.Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax.

57.Kuuza miti na mbao.

58.Kufungua Grocery, bar

59.Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha.

60.Kucharge simu/battery.

61.Duka la TV na vifaa vingine.

62.Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).

63.Banda la kupigisha simu.

64.Kuuza na kushona Uniform za shule.

65.Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.

66.Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari

67.Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe

68.Kuuza fanicha.

69.Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.

70.Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)

71.Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.

72.Kuuza vioo

73.Kushona na kukodisha nguo za harusi.

74.Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari

75.Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).

76.Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)

77.Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi

78.Kufungua studio ya kutengenezavipindi vya redio na televisheni

79.Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)

80.Kufungua benki.

81.Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga.

82.Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k

83.Kuwa dalali wa vitu mbalimbali.

84.Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)

85.Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.

86.Kuanzisha viwanda mbalimbali

87.Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.

88.Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali

89.Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha

90.Kutengeneza antenna na kuuza

91.Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao

92.Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo

93.Biashara ya kuagiza magari

94.Kufanya biashara za Jukebox

95.Kukodisha matenki ya maji

96.Kufungua duka la kuuza Asali

97.Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha

98.Kufungua Duka la vinyago, batiki

99.Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZYPESA

100.Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).

101.Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.

102.Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).

103.Kufungua Kampuni ya Ulinzi

104.Kufungua kampuni ya"Clearing and fowarding"

105.Kuchezesha vikaragosi

106.Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki

107.Kuuza baiskeli

108.Kuuza magodoro

109.Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe,vijiko,

110.Kuuza marumaru (limestones)

111.Kuuza kokoto

112.Kuuza mchanga

113.Kufundisha Tuisheni

114.Biashara za bima

115.Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga (ndege)

116.Biashara za kitalii

117.Biashara za meli na maboti.

118.Kampuni ya kuchimba visima

119.Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea

120.Kuuza mkaa

121.Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali

122.Kampuni ya kupima ardhi

123.Kampuni ya magazeti

124.Kuchapa (printing) magazeti

125.Kuuza magazeti

126.Kuchimba mafuta

127.Kiwanda cha kutengeneza mabati

128.Kiwanda cha kutengeneza fanicha

129.Kiwanda cha kutengeneza matairi

130.Kutengeneza vitanda vya chuma

131.Kununua nyumba katika Maghorofa (Apartments) na kuzikodisha.

132.Kukodisha makapeti

133.Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.

134.Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.

135.Kazi ya ususi na kusafisha kucha.

136.Kuuza Gypsum

137.Malori ya kubeba mafuta na Mizigo

138.Duka la kuuza mboga za majani

39.Duka la kuuza maua.

140.Kampuni ya kuzoa takataka

141.Kampuni ya kuuza magari

142.Kuuza viwanja

143.Uvuvi

144.Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi

145.Uchoraji wa mabango.

146.Duka la kuuza silaha

147.Ukumbi wa kuonesha mpira

148.Biashara ya Multi-Level Marketing-MLM

149.Yadi kwa ajili ya kupaki magari

150.Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo..

Amua haraka nini unataka kufanya nini kwa ajili yako na maisha yako na kama kweli unataka kufanya biashara/ujasiriamali napenda kukusisitiza uanze sasa kwa kutumia chochote ulichonacho kwani ndege mmoja aliyo mkonono mwako ni bora zaidi kuliko 100 walio angani.

By

Hilary Mbonde
 
Bonge la ideas safii mkuu
 
Hapo hukosi moja ya kufanya au ambayo unaifanya tayari au ambayo anaifanya mtu unayemfahamu
 
Labda anamaanisha hizi za kawaida zinazotumia petrol (bodaboda).., na zile zinazotumia damu (baiskeli)
 
Back
Top Bottom