Recent content by Uwa zuri

  1. Uwa zuri

    Nimepigika nisaidie mawazo

    mchongo gan huo niufanye mimi
  2. Uwa zuri

    Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    hahah
  3. Uwa zuri

    Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Kwan umeambiwa natetea wayahudi?siko upande wowote kwamaana Sina undugu nao hata wa rangi
  4. Uwa zuri

    Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Afu ww upunguzage kiherehere,ww walishawah kukusaidia nn?.Una uchungu nao nenda kwao kawasaidie lioooneee Kwanza.
  5. Uwa zuri

    Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Itakuwa labda yey alikuwa anataka mtu serious (mume)ila kaona husomek kaona asipoteze mda na gangster 🤭🤭
  6. Uwa zuri

    Haithamkim amefanyaje?

    kama Vp Kama nataka yangu labda na mtoto mmoja?
  7. Uwa zuri

    Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Ivi ana mke huyu mpuuzi?hata hao wanao lala naye wanamoyo ni Kama anawaongelea wao
  8. Uwa zuri

    Haithamkim amefanyaje?

    Mtei Ni mme wake anachora sanaaa wasanii ma tattoo
  9. Uwa zuri

    Mke anahitajika

    😀😀😀😂😂😂 Tuko mwaka 2023 afu karne nyingine,nani atakubal kushika jembe wakat matrekta yapo.Afu unataka mke au mkulima?
  10. Uwa zuri

    Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Hawa wa huku kwetu ukimkuta mrefu basi mwembambaaa,tofaut na hao wanao miili ya kiuanaume halisia😊😊🤭🤭🤭,nadhan wao wakakula sanaaa vyakula vya asili kuliko huku
  11. Uwa zuri

    Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

    Kwakwel uvumiliv wa kukaa na namba ya mtu niliegombana naye sinaaaa,huwa nafuta hapo hapo na habar inaishia hapo..
  12. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Umeona eenh watu wanavyo lala pazur 😀😁😁😂😂
  13. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    😀😀😀😀😁😁😁😃😃😃😂😂😂 Ivi mwenyewe akiona comment ka hii inamuhusu atacheka,ata shangaa au atasikitika 😀😀😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 maana mm vyote vimenijia kwa wakat mmoja.
Back
Top Bottom