😆😂Poa nitakucheki kwa ile namba yako,
Au ulibadili namba?
Mkuu mbona unanicheka tena!
Ndio maana hua nakuaminia jirani,Bro ni ushirikiano Tu?? Hiyo kazi niachie Mimi ikishindikana kwa hiari yake tutasogeza wazo kwa braza yetu Mshana!
Utafanikiwa Pipilomomo tuendelee kupambana.
Pia, kwa umri wako ungeongeza maarifa VETA ata short course
Asante sanaUtafanikiwa Pipilomomo tuendelee kupambana.
Pia, kwa umri wako ungeongeza maarifa VETA ata short course au NVAIII
We naona unataka kummanua single maza wa watu!! Unipasie na mimi 😆Mkuu mbona unanicheka tena!
Mods washaedit. Asante.we mwenyew umemquote no yake bado ipo labda ufanye kudelete hiyo reply yako
Done...na asikie Mhandisi Mzalendo
oukyMods washaedit. Asante.
Jikite kwenye madaHushtuki hata kwa umri huo? Huolewi?