Nimepigika nisaidie mawazo

Nimepigika nisaidie mawazo

Akili kubwa sana...
Kwanza suala la kuchoka, kuonewa au kutotendewa haki unapaswa kulitoa akilini mwako.

Pili, Kama unaweza rudi kwa hao wahindi bila kuacha kazi hapo Tigo Shop na kama watakukubalia; fanya kazi.

Yaani nenda kwa wahindi ( kama ulivyosema ni Night Shift ).

Then, Njoo ulale ofisini Tigo Shop ( Kama ulivyosema hakuna wateja kwa sasa ).

Kwa muktadha huo hapo Tigo Shop mambo yakikaa sawa, then unaacha huko kwa wahindi.

Ni Ngumu lakini Inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Mwaka juzi baada ya kumaliza chuo na kukosa kazi ya nilichosomea, nikaanza kufanya kazi ya receptionist ktk hoteli ya wahindi. Sijawahi fanya kazi ngumu km ile kwanza hamna off kilasiku kazini afu ni night shift tu ila nilivumilia sababu ya shida zangu, hawalipi vuzuri sn mshahara ni laki mbili tu kula na nauli juu yako. nimefanya mpaka mwaka jana mwezi wa 11, nikabahatika kupata kazi nyingine ni hizi tigo shop ndogo, kwakua nilikua nimechoka na ile kazi ya wahindi nikaona niondoke, ila najuta kukurupuka kwani ningefikiri kwanza maana hii ofisi niliyoiendea ni mpya kabisa ndo imeanza na mm km mfanyakazi wa 1. Boss mpya tulikubaliana atanilipa laki 3..sasa tatizo hii tigo shop ni mpya na imefunguliwa location mbaya hamna wateja kabisa, tokea nimeanza kazi sijawahi kulipwa mshahara boss anasema mpk duka lianze kuingiza hela, Mwezi wa 11 alinipa elfu 50 na wa 12 ni hivyovyo, kilasiku natumia 3000 toka mfukoni mwangu ya nauli na chakula.

Maisha ni magumu sn nahitaji pesa nimepanga, mama yng ananitegemea..sasa nilikua nauliza ni kweli mtu akifungua biashara ni mpk ianze kumlipa ndo mfanyakazi alipwe au anatakiwa akubali kuingia hasara miezi ya mwanzo anilipe mfukoni mwake? Na la pili nilikua nafikiria kuomba kurudi kule kwa wahindi japo nilikua nachoka lkn sina jinsi maana familia inaniangalia, nimejaribu kutafuta kazi nimekosa, je kurudi kule ni uamuzi sahihi? Naombeni ushauri ndugu zangu.
Upo wapi siku hizi maana kuna mchongo
 
Pole sana kwa changamoto...ila nafurahi kua Kuna jambo umejifunza moja kuanamipango sahihi unapotaka kutoka sehem moja kwenda nyingine kisa masilahi, pili tambua life halina huluma... nikupambana, tatu usiamini kwenye kupoteza (amini ni changamoto kama changamoto zingine).

Kuna vitu vijana tunafeli na hatuvijui vizuri. Mfano tunatoka chuo hatuna ujuzi wowote, Alafu kibaya zaidi tunategemea kupata mambo makubwa kwamda mfupi... Hii nimbaya sana naitaendekea kututesa hasa sisi wenye level ya chuo kikuu.

Nafikiri, huu nimda sahihi wakukubaliana nachangamoto za Ajira, private company Baadhi zinatumia hua mwanya kuajiri wasomi wenye vigezo sahihi nani productive kuwalipa viwango vya chini kwaimani kua... Kuna watu wengi wanauwezo wakuja nakufanya kile unacho kifanya.

(Ulivyo sema umeacha Kazi ya 200,000, Kuna watu wameumia sana coz wapo na CV nzuri, ila wanaenda kutafuta Kazi hata ya 150,000).

Ila yote mia, pambana hakuna kukata tamaa, thamini Kila shilingi uipatayo.
 
Habari wakuu,

Mwaka juzi baada ya kumaliza chuo na kukosa kazi ya nilichosomea, nikaanza kufanya kazi ya receptionist ktk hoteli ya wahindi. Sijawahi fanya kazi ngumu km ile kwanza hamna off kilasiku kazini afu ni night shift tu ila nilivumilia sababu ya shida zangu, hawalipi vuzuri sn mshahara ni laki mbili tu kula na nauli juu yako. nimefanya mpaka mwaka jana mwezi wa 11, nikabahatika kupata kazi nyingine ni hizi tigo shop ndogo, kwakua nilikua nimechoka na ile kazi ya wahindi nikaona niondoke, ila najuta kukurupuka kwani ningefikiri kwanza maana hii ofisi niliyoiendea ni mpya kabisa ndo imeanza na mm km mfanyakazi wa 1. Boss mpya tulikubaliana atanilipa laki 3..sasa tatizo hii tigo shop ni mpya na imefunguliwa location mbaya hamna wateja kabisa, tokea nimeanza kazi sijawahi kulipwa mshahara boss anasema mpk duka lianze kuingiza hela, Mwezi wa 11 alinipa elfu 50 na wa 12 ni hivyovyo, kilasiku natumia 3000 toka mfukoni mwangu ya nauli na chakula.

Maisha ni magumu sn nahitaji pesa nimepanga, mama yng ananitegemea..sasa nilikua nauliza ni kweli mtu akifungua biashara ni mpk ianze kumlipa ndo mfanyakazi alipwe au anatakiwa akubali kuingia hasara miezi ya mwanzo anilipe mfukoni mwake? Na la pili nilikua nafikiria kuomba kurudi kule kwa wahindi japo nilikua nachoka lkn sina jinsi maana familia inaniangalia, nimejaribu kutafuta kazi nimekosa, je kurudi kule ni uamuzi sahihi? Naombeni ushauri ndugu zangu.
Unaweza kutumia mfumo gani wa pms?
 
Back
Top Bottom