Habari wadau nina shamba eka 100 Nyanzwa likiwa limepakana kabisa na mto Ruaha. Ninakodisha eka 60 ambazo tayari nilishalima miaka miwili iliyopita. Nakodisha kila eka laki mbili na nusu 250,000. Mashine ya kumwagilia ipo. Tuwasiliane mapema maana huu ndio mda wa kuatika mbegu. Mwenye nia aje PM.
Kuna daktari kutoka marekani atakuwepo Dar hivi karibuni. Yeye hutibu kwa njia iitwayo homeopathy. Binafsi nimeshuhudia akitibu vitu vya kushangaza sana. Although haina scientific basis lakini not everything can be explained with science.
Nitawatangazia siku na mahali tafadhali muwajulishe na...
mtena kanga dar ni elfu 35 mpaka 40. Hii ni bei ya sehemu moja makumbusho karibu na millenium tower. Ilikua inapigwa bendi zamani. Mimi nilinunua kanga mdogo wa wiki 4 elfu 15 kwa kubembeleza sana. Kwenu wewe wapi?
Habari wadau. Nina kuku wa kienyeji 30 sasa naomba kujua ni kuku wa aina gani ambao ni mahususi kwa nyama yenye quality ambayo ni mbegu kubwa, tamu,laini na isiyo na kamba ili niweze kumix na hawa kuku wangu wa kienyeji kupata product nzuri nayoweza uza hata kwenye hoteli za kitalii.
Maana kuku...
Md ni ndefu na huko mwisho kipato chake hakiringani kabisa na time spent. Ila nionavyo mimi ukisomea sonography na radiology ujue kupiga ultrasound,ECG,echo na X-ray utakua very marketable hada private institution sababu dispensary na med centers nyingi wanahitaji. So ukiwa co mtaalam wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.