Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

hebu tuambizane,uliwahi ishi IRINGA sehem gani na mwaka gani,shule ya msingi ulisomea sehem gan! na unakumbuka nini?? mimi niliishi kising'a na niisoma kising'a s/m 1990-1996. nakumbuka tulikuwa tunakunywa sana ulanzi wa watu kwenye mbeta na kula matikiti

Nimeishii kwa mwang’ingo nimesoma primali ngome / o level nimesoma highlands sec mwaka 2005 __2008 High school Mwembetogwa sec school 2009__2011 daaaa nimeimic iringa yangu HOM SWEAT HOM!!!!
 
Hahaha! Mwalim babu alikua anapiga na rula kwenye vidole. Tulishawahi mvunji mavunja genge chini ya kiti ili asifundishe!! Palikua na mwalim kambanyuma, fikwe, benja e.t.c.
Mlinzi anaitwa Omera sio Omega. Halaf yuko vile vile hazeeki.
Ile shule mda wa break time palikua na mapocho pocho yanauzwa pale pembeni hadi noma. Si ilikua ya magabachori.
Viazi vya pilipili na sambusa kwa mama viazi. Icecream za Patrick! Dah. Those were such good times. Uzunguni ilikua uzunguni kweli aaise. Ile miti ulaya kule juu ule ubaridi.

Dah hadi machozi yananitoka
 
Mi niliishi sehem flan huko iringa inaitwa idodi enzi hizo nikiwa mdogo in 90s nikaanza std 1 ktk shule ya tungamalenga ila mwishoni mwa kumaliza std 1 tukahama mkoa na wazazi ila nakumbuka sn maisha ya kule mahali aisee maisha yalikuwa raha sana
 
Dah hii bar ni hatari, nahisi kipindi hiki ndiyo kile unatoa 2,000/= unampa meneja, bar-maid anapata off ya bar! Wapi Mid-town pia!

Mimi niliishi Makambako, nilikua naishi Mji mwema kijiwe changu kilikua Bar moja hivi iinaitwa Usalule Guest and Bar....miaka ya 2006-2008
 
Mkwawa High School 2003/2004 kabla haijabadilishwa kuwa chuo!To be honest hakuna shule nzuri kimiundombinu km ilivyokuwa mkwawa kwa shule zet za serekali!Maisha yalikuwa pouwa sana unakutana na watu kutoka kila pembe ya Tz!
Haahaa kwa mzee wa povu na mgimwa
 
mie iringa nakumbuka vilabu na vijiwe vya pombe ulanzi,uwambule,komoni etc.
Kwa semtema
idunda bar
mwafrika bar
rungemba kwa kikanyikanyi
kwa mwalungila kilasa
 
Enzi hizo nilianza std 1 Mapinduzi primary wiki 2 tu mtoto wa kiarabu akanizingua nikamtuliza nikafukuzwa shule nikamwambia yule mwalimu mkuu mshina/shina/sina poa tu
 
Nimeishi ukumbi usolanga kalenga nimesoma pia huko shule za msingi sekondari mafinga seminar tulikuwa tunakunywa sana ulanzi mafinga pale changarawe kwe yalingudi gwavemunyambe
 
Niliishi mlandege mtaa wa kijiweni, 1984 darasa LA kwanza shule ya msingi Mlandege, namkumbuka sana mwalimu wangu wa darasa Mwl Matingo alikuwa anatuuzia maandazi na vibama darasani.
 
hebu tuambizane,uliwahi ishi IRINGA sehem gani na mwaka gani,shule ya msingi ulisomea sehem gan! na unakumbuka nini?? mimi niliishi kising'a na niisoma kising'a s/m 1990-1996. nakumbuka tulikuwa tunakunywa sana ulanzi wa watu kwenye mbeta na kula matikiti

Nimeishi Saja, Mpogolo,Ikangamwani na Malangali (Ikingula),( Makambako) (sasa Ni Njombe)
 
mie iringa nakumbuka vilabu na vijiwe vya pombe ulanzi,uwambule,komoni etc.
Kwa semtema
idunda bar
mwafrika bar
rungemba kwa kikanyikanyi
kwa mwalungila kilasa
umesahahu agafilo club pale mshindo mkuu,
mie nimezaliwa kitanzini kwa watoto wa mbwa
primary Wilolesi
Secondary Ruaha sec
A level ndo nikaenda Mbeya
 
juzi nimeona prado moja imeandikwa kwenye kioo kikubwa cha mbele'IRINGA KUKAYE:nikafurahi sana,nimekulia mitaa ya MLANDEGE ,iringa raha
 
umesahahu agafilo club pale mshindo mkuu,
mie nimezaliwa kitanzini kwa watoto wa mbwa
primary Wilolesi
Secondary Ruaha sec
A level ndo nikaenda Mbeya
[/QUOTE
Mmmmmmh tutapishana humu kumbe tunafahamiana
 
umesahahu agafilo club pale mshindo mkuu,
mie nimezaliwa kitanzini kwa watoto wa mbwa
primary wilolesi
secondary ruaha sec
a level ndo nikaenda mbeya

kitanzini lazima unamfahamu mzee roka
,roka taxi no.14

wilolesi hapan shaka utamkumbuka kajiba
ruaha sec,lazima topic ya meander,
geography uliielewa uzuri
mbeya hapan shaka kumbukumbu ya
parachichi ktk msosi
utakuwa nayo
 
Back
Top Bottom