Aaah You look zaidi ya tausi !!Labda alijua ni kama wale kuku broiler... inataga tu baada ya kula without kupandwa
Wapo viumbe hai (wanyama) walioumbwa kipekee na hawajamiiani kama njia ya kudumisha uzao. Wanyama (viumbe) wa namna hiyo hawakuumbwa jike na dume bali wameumbwa wa aina moja mwenye mbegu za kike na kiume. Sivyo walivyo tausi. Hawa wameumbwa dume na jike. Tausi dume kwa kiingereza anaitwa "Peacock" na tausi jike kiingereza anaitwa "Peafowl".
Tausi dume mara nyingi ndiye aliyekivutio kikubwa kwa wanadamu hasa kwa uwezo wake wa kutandaza manyoya yake ya mkia ambayo ni marefu na yana michoro ya rangi nzuri mno, nichoro ambayo binadamu wameiiga mara nyingi katika mavazi hasa ya akima dada/mama. Tausi huyu dume hutandaza manyoya yake kwa sababu kabla ya kupandana lazima tausi "wachezo ngoma", au kwa maneno mengi wanafanya vitendo ambavyo vimeitwa na wanadamu "Peacock mating dance", na shughuli hii hasa hufanywa na tausi dume kuwavutia/kuwaita majike ili wapandane. Tukio hili la dume kuwaita majike ili awapande kwa hakika ni kivutio kikubwa mno kwa wanadamu na kwa kweli uzuri na umuhimu wa kufuga tausi uko katika umbo analoonekana nalo tausi dume wakati huo. Hata lile umbo la tausi wakiwa katika tendo la kupandana ni kivutio kikubwa kwa watazamaji. Fuata link hiyo hapo chini uone tausi wakipandana.
Peacocks mating - YouTube
Heshima na utii mbele kwenu wakuu,,,,, kuna mabishano yalikuwepo kati yetu ya kuwa eti ndege aina ya tausi huwa hawana kabisa ile kujamiiana kwenye uzao wao, ndipo kwa kujua jamii forum ndio mwisho wa ubishi nikaona nilete hili suala mbele yenu kwa ufafanuzi zaidi. Kwenu waungwana
Labda alijua ni kama wale kuku broiler... inataga tu baada ya kula without kupandwa
hio itakua ya olkokola mkuu..ni kaaali sana....ukivuta hio barabara ya lami unaweza fikiri ni maji then ukajaribu kupiga mbizi haahaaha.leo umevuta bange ya wapi mkuu!?
nimekuja mbiombio nikajua labda unao unawauza maana nawatafuta sana hao ndege!
Tukirudi kwenye maada' ulikuwa unabishana na mtu wa namna gani na mlikuwa wapi? maana unaweza kuta mlikuwa mnakunywa ulanzi au mbege ndo mnabishana. maana hayo majibu mliopeana daa! nisawasawa nakusema paka hawapandani kisa haujawahi kuwaona wakifanya hivyo.
ukikamatwa na tausi ni njela miaka kibao huyo ni nyara ya taifa
ukikamatwa na tausi ni njela miaka kibao huyo ni nyara ya taifa
Habari wadau,
Ninatafuta tausi na ndege wengine wasiopaa kwa ajili ya kufuga kama urembo. Je nitapata wapi kwa bongo?