Recent content by uswiswi

  1. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    mwenye link ya kudownload series tafadhar sana mnitumie maana nimekuwa nilitumia bitdownload kwa sasa imegoma
  2. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    mwenye link ya kudownload series tafadhar sana mnitumie maana nimekuwa nilitumia bitdownload kwa sasa imegoma
  3. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu vifaa vya ujenzi Uza/nunua

    Fance wire ipo??
  4. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Nilitumia hiyo kitu nikiwa college hatar tupu... Nilipopuliza tu..niliona kama majani ya mihogo yanaingia jichoni...jani la mihogo lilikuwa kubwaaaa...kila nikiliangalia kama linakuja jichoni...nikalala hapo hapo hadi asubuhi.. Hatar tupu...
  5. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Acha uoga...USA atakaa chini.
  6. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi

    Aina gan mkuu nzur,??
  7. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi

    Parallel mkuu
  8. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi

    Kwa mwenye ujuzi au uzoefu au utaalam..anisaidie.. Nimefunga solar panel W150 na W 100 Kwa ajir ya matumiz ya nyumbani kama kuwasha taa..za nje getin n.k Je ni CELL(battery) gan nzuri naweza kufunga na yenye nguvu gani ?ukilinganisha na nguvu ya panel??
  9. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda kutunukiwa PhD ya heshima huko SA?

    Kwa gere za watu hawa..kwenye thread zao..Tz tutaendelea kuwa nchi ya V-WANDER. kila kona ushilawadu umejaa.. Fanyeni yenu.achaneni na maisha ya watu.. Chini ya jua hakuna aloyekamilifu hata mmoja. Fanya vyako achana na maisha yatu..wivu hauna manfaa..wenzenu wanapasua anga..
  10. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Muongoza Watalii na Mkalimani feki wa mtalii anaswa

    Hiyo sauti ni kama imeingizwa..edited Anaweza shinda case.. Ukicheki midomo yake na sauti Mpangilio.. unakosekana..uchunguzi wangu mudodo
  11. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dunia (earth)

    Akasome physicis..watu wanaumiza vichwa kwenye tafiti Yeye anakuja na hoja nyepesi nyepesi.. Weka theory sio maneno..
  12. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    wapi designated survivor
  13. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Msanii darasa anatoka/amezaliwa mkoa gani?

    Huyu jamaa ni mchochezi[emoji3][emoji3][emoji3]
  14. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

    Unacase ya kujibu kabla ya kufunga hiyo KUDU mtini. Kuamua kujiua..
  15. uswiswi

    JamiiForums Tanzania Big up ditto

Back
Top Bottom