Recent content by Usiku

  1. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda kumbe kahaba wa kutupa

    Mkuu umeshafika Kigoma? Haujatupa mrejesho mkuu
  2. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuita baba swalehe amenuna

    Mme wako au mzazi mwenzako? Ukinijibu tarudi tena
  3. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia simridhishi

    Safi mkuu fanya mazoezi kula vizuri na upunguze madeni utakuja nipa mrejesho!
  4. Usiku

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tutorial assistance

    Soma upate angalau gpa ya kuanzia 3.8 unaweza kupata nafasi hiyo
  5. Usiku

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tutorial assistance

    Mkuu kwanza sio tutorial assistance ni tutorial assistant
  6. Usiku

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

    Mkuu hii hapana labda kwenu huko zanzibar.
  7. Usiku

    JamiiForums Tanzania Computer Science vs Procurement

    Kwa level ipi ya elimu? Bachelor or diploma?
  8. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni mnifundishe mapenzi, sitaki kuumizwa tena

    Bado haujampata house mate? Ratio 3:1 wewe dada ni kiboko
  9. Usiku

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta napenda KKKT, nimetazama ibada yao roho kwatu

    Karibu sana
  10. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ana wivu wa kupindukia mpaka imekuwa kero sasa!

    Umeshikiwa akili wewe sio bure
  11. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ana wivu wa kupindukia mpaka imekuwa kero sasa!

    Mkuu unasoma Amazon college? Kisima cha mafanikio?? Mbona huwezi kujieleza? Pia kumbuka mke wa mtu ni sumu watakufumua hayo marinda yako muda sio mrefu!
  12. Usiku

    JamiiForums Tanzania CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Huwezi shauri kwa sababu wewe ni heartless
  13. Usiku

    JamiiForums Tanzania CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Mwanaume acha kulalamika sana. Unalialia kama PhD holder (Dr Rajabu) tafuta vyanzo vingine vya mapato! By the way wamekusaidia kusave hiyo TGSD yako ingeisha kesho tu
  14. Usiku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Respect kwa wanawake wote...

    Michael majighu umetisha
  15. Usiku

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya maisha ya Tabora na Dar es Salaam

    Uwezo wa kufikiri wa watu kweli umepungua. Hujui tofauti ya maisha ya jiji na halmashauri ya manispaa? Dar na Tabora kweli hadi ulete uzi humu??
Back
Top Bottom