Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.
Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.