Tofauti ya maisha ya Tabora na Dar es Salaam

Tofauti ya maisha ya Tabora na Dar es Salaam

Tabora watu wake ni wavivu kama mikoa mingine yenye asili ya umwinyi! Biashara inafunguliwa saa tatu asubuhi na mzunguko wa pesa ni kidogo sana! Ukiwa na gari ya aina yoyote utajulikana tu maana ni machache sana!
 
Haya linganisheni kifo na usingizi dar mwenzake makelele, Nairobi,
 
Kule nilipapenda ni wastaarabu sana na kuna watoto warembo sana. Pia kama hujawahi onja watoto wa kiarabu wapo kule wa kumwaga tena washamba tu!
 
ukisalimia vepee badala ya vipi unakula vitasa vya haja vya wanyamwezi wajukuu wa warugaruga wa mtemi milambo
 
Nilikuwepo tbra mwez wa pili ni mji mzuri tu isipokuwa nilichoona tofaut ni mzunguko wa pesa ni mdogo ila fursa zipo upande wa club zipo tatu tu ambazo ni oxygen,royal na shimoni so ni mji mdogo lakini una lami karibia njia zote pale mjini ila kuna watoto wakali sana kuwa makini
 
Tabora kifupi mji ni kama umedumaa hivi, maisha yamekaa kiuswazi uswazi sana, mzunguko wa pesa hakuna ila maisha ni nafuu kutokana na wengi kuwa masikini.
Hali ya hewa ni kiubaridi fulani hivi kama cha Dodoma yaani kikavu kinapenya mpaka ndani.

Totozi nyingi za kufa mtu si unajua wanyamwezi tena na hivi vimichezo wanavyoendekeza.
Watu wake wengi wavivu ila wastaarabu , starehe classic sio sana wakati naondoka kulikua na kumbi mbili tatu za starehe kama bubbles night club na Royal club, zaidi ya hapo ni vigodoro kwa kwenda mbele hakunaga cha weekend wala weekenda.

Kifupi ni mji uliodumaa kimaendeleo japo mkongwe, kama umekulia Manzese au Tandale utakua unanielewa.

Bila shaka umesoma Tabora Boys
 
Nilikuwepo tbra mwez wa pili ni mji mzuri tu isipokuwa nilichoona tofaut ni mzunguko wa pesa ni mdogo ila fursa zipo upande wa club zipo tatu tu ambazo ni oxygen,royal na shimoni so ni mji mdogo lakini una lami karibia njia zote pale mjini ila kuna watoto wakali sana kuwa makini
Hahahahahahaa uko sahihi broo
 
Tabora nyumba za Kupanga bei chini hapa mjini,Misosi bei chee.Mahindi debe 12000.Nyama kilo 4000 mpaka 5000.Sema Electronics na Mavazi Dar bei Chini.Mzunguko Wa hela Dar ni mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabora ukila wali na mnofu wa kuku wewe tajiri,pia kuiona elfu kumi uwe umefanya kazi haswa ni nadra mnoo kuiona na ukiwa nayo unaweza zunguka mji mzima usipate chenji.Ila kwa totoz nimepavulia kofia.
 
Sijui uliwaza nini kuifananisha dar na mji mwingine wowote hapa nchini.
 
VEPEEEEE ndo nini akina wema Sepetu wanatuharibia Watoto vipi Facebook hawajambo?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

To accomplish much you must first lose everything..
 
Tabora kifupi mji ni kama umedumaa hivi, maisha yamekaa kiuswazi uswazi sana, mzunguko wa pesa hakuna ila maisha ni nafuu kutokana na wengi kuwa masikini.
Hali ya hewa ni kiubaridi fulani hivi kama cha Dodoma yaani kikavu kinapenya mpaka ndani.

Totozi nyingi za kufa mtu si unajua wanyamwezi tena na hivi vimichezo wanavyoendekeza.
Watu wake wengi wavivu ila wastaarabu , starehe classic sio sana wakati naondoka kulikua na kumbi mbili tatu za starehe kama bubbles night club na Royal club, zaidi ya hapo ni vigodoro kwa kwenda mbele hakunaga cha weekend wala weekenda.

Kifupi ni mji uliodumaa kimaendeleo japo mkongwe, kama umekulia Manzese au Tandale utakua unanielewa.
We utakuwa Mlambo sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom