Acha kukariri chips dar ni km mboga, ugali ndo mpango mzmamadem ni wataalam tosha wanalalamika machal wa Dar hawawaridhishi na ukifuatilia chakula kikuu kwa madume ya Dar ni chips

Kuwa na confidence then wkt wa kudo relax ucwe na pupa.afu weka akilin kwmb unaweza kuendelea ukishamwaga unaunga ju kw ju.me naamin saikoloji ndo tatizo kubw la kuwahi.me naunga ht v3 hd v4 bila kupumua kwa kujiamin tu inatosha.ila wkt mwngne mwanamke anategea anawez akakudissapoint ajitoe na yy kukuchezea c ukimaliza hrk ye awe wakwanza kukulaum.wanawake mnakosa ubunif pia afu sa ingne papuch inaloa sn hpo lazma ikurukeWana jf naandika kwa masikitiko makubwa
Nimepata mpenzi nimekutana nae kama mara nne lakin sijamridhisha hata mara moja! baada ya kukaa nae kupiga story akaamua kuniambia alikuwa ana danganya ili asinichoshe kwani nilikuwa najilazimisha na kujikaza tu wakati mwengine nilitumia mbinu nyengine kama vidole ili kumfikisha ila alikuwa ana fake kufika!!sababu ya yote ni kuwahi kufika mapema nikiingiza namwaga tena kagoli kamoja.
Kwasasa kakataa kabisa kukutana nami kwani namtesa kwa kumuacha njian na kufikiria kufanya mda wote!Nimepewa likizo mpaka pale nitakapokuwa vizuri
Hakuna kitu kinauma kama kutokumfikisha mwanamke,wadada ni vyema kuwa wawazi kwa w'me wenu kuliko kumsaliti au kutafuta mwengine wa kukuridhisha kabla hamjapata ufumbuzi wa tatizo kwasasa nimeanza zoezi na kula vyakula vya kuongeza nguvu (nimeacha punyeto,chipsi na soda) sitaki kutumia njia za mkato.
Nitaleta mrejesho baada ya wiki 1
Hata mimi nashangaa watu kwa kukariri stori za vijiweniChipsi na soda vina uhusiano gani na uwezo wa kumridhisha mwanamke wako?
Nilikuwa sijui Kama kuna kutumia akili hapa...!!pia uache kupania papuchi cheza bila mbwembwe tumia akili sana kuliko nguvu ukitumia nguvu sana utafeli kijana.......
kama ulikua hujui sasa umejua!Nilikuwa sijui Kama kuna kutumia akili hapa...!!
Hebu nijuze unatumiaje hiyo akili...kama ulikua hujui sasa umejua!
duuh mkuu hiyo avatar yako ni balaa, by the way sichoki kuitazama