Recent content by Usiempendakaja

  1. U

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Kinje baada ya video ya mahaba na Tunda kuvuja

    Huyo mtangazaji nae vipi ajakaa kiprofessional...yani si kwa kujichekelesha huko ka anatongozwa.....
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii kupata chai inayonukia vizuri na yenye ladha

    Ukitaka kupata chai Tamu Bandika sufuria yako jikon ..weka maji. * kama unapenda viungo weka ..viungo vichanganyike vizuri na maji ....wacha yachemke*** yakishachemka ipasavyo....tia majani ya chai...yachemke kdg tu usiyakawize ** MAJANI YA CHAI YAKICHEMKA SANA CHAI HUWA CHUNGU***...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

    ni kweli hata ya ng'ombe.. Nyama zote nyekundu si nzuri kuziendekeza.. kula kwa wingi nyama nyeupe mfano samaki kuku
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lipi neno sahihi kati "SAINI na SAHIHI?

    Yote ni sawa ila kuna tofauti kwenye matumizi saini hutumiwa kama verb/tendo mara nyingi Bwana juma amesaini mkataba wa mika miwili na sahihi hutumika kwa kiswahili fasaha na hutumiwa kama noun hii ni sahihi ya bwana Juma *** sahihi pia hutumika kuonesha mtu ypo sawia na asemacho*** Bwana...
  5. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa mabibi wa Urusi wanaotutongoza gmail ni wa kweli?

    mkuu achana nao hao watakupotezea mda..ni wanaija matapeli
  6. U

    JamiiForums Tanzania Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

    Yani afazali kwa kutotolea huu utata...mi nlikuwa nashindwa hata kuuliza..ila nilikuwa nahaisi tu hawapo original..Karibu tena Mkuu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

    alichokua picha yako yupo wapi ville
  8. U

    JamiiForums Tanzania Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

    hahha karibuu sasa ulikuwa wapi adi ukazua hekaheka
  9. U

    JamiiForums Tanzania Master Plan ya Jiji la Dar

    mil. tatu adi 7 unapata .....kuanzia 4 unusu unapata eneo babkubwa.....usikutane tu na watu wenye tamaa....utapata eneo ushangaee...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Master Plan ya Jiji la Dar

    umeona ndugu.....hela zenyewe za kimasikini hizi...kesho uambiwe bomoa...ndo naanzakuchukua tahadhari..Nzasa kwenyewe mji ndo unaanza...Mungu tusaidie
  11. U

    JamiiForums Tanzania Master Plan ya Jiji la Dar

    Bado sijapata eneo mkuu...ila nashawishika kwa bei ya viwanja huko japo hakuna umeme ...ndo naogopa kutia mguu kumbe mashamba ya watu haya...au kesho tunaambiwa barabara inapita hapa....ndo hofu yangu..
  12. U

    JamiiForums Tanzania Master Plan ya Jiji la Dar

    Dah...sawa
  13. U

    JamiiForums Tanzania Master Plan ya Jiji la Dar

    Habari zenu ndugu....bila kupoteza mda naomba mwenye master plan ya jiji atuwekee ...nna mpango wa kwenda kujificha Nzasa ( Chanika)... sasa haya mambo ya Bomoabomoa yasije kunikuta... Natanguliza Shukran!!!
  14. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiona mjinga sana

    sasa wee tulikwambiaje humuuu...pole kwakweli...ndani ya miezi miwili hii kakudunyua mara tatu dah......poleee...ila kidonda chako kitapona tuu...thamani yako ipo kwa atayekupenda....sikuzote watu wapole ni nomaa kaa mbali nao kabysaa....
  15. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hanitaki kisa kasikia nina mtoto wa nje

    :D:D:D:D:D:D
Back
Top Bottom