Najiona mjinga sana

Najiona mjinga sana

sasa wee tulikwambiaje humuuu...pole kwakweli...ndani ya miezi miwili hii kakudunyua mara tatu dah......poleee...ila kidonda chako kitapona tuu...thamani yako ipo kwa atayekupenda....sikuzote watu wapole ni nomaa kaa mbali nao kabysaa....
 
Hauko peke yako mjinga .mko wengi kweli wajinga wa aina yako.mnadanganywaga kirahisi saaana hivyo hivyo.sema labda wewe ni kiranja wao.aka senior mjinga
 
JIMBO LIKO WAZI. Kwa wale wajuzi wa kumwaga sera. Huyu ni halali yenu...
 
Kama ulikuwa bikra na ulimtunzia mumeo mtarajiwa lazima ujione mjinga...lakini kama ulishatobolewa long time kitambo huna haja ya kujiona mjinga, mchukulie kama wapita njia wengine waliopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usi-mind midhali hajakuachia Mimba wala miwaya
Hili ni jambo la kawaida chukulia poa muoneshe yaliyopita yamepita kama vile hayajatokea.

Asiyejua mahusiano yenu usimpe nafasi ya kuyajua, ayatangaze yy wewe kazi yako ni kukanusha na maisha yaendelee usioneshe kumchukia kamwee.

Akikupigia simu ongea naye kwa furaha akikuomba mkutane muulize shida nn aseme moja kwa moja,akistua mzigo mwambie unamheshimu kiwango cha kaka yako.
 
Kizazi cha mwendo kasi.... On one mouth
 
huwa nafurahi sana nikisikia jamaa muongo, muongo sura ya upole kumbe kitombi kwa mwezi mara 3 hahahhahaha kila wiki anazama nyavuni hahahahaha safi sana.

nenda mpumziko kabla ya kurudi kwa awamu ya 2 hahahahha
 
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi

Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu

Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Pole sana ndio moja ya maisha siku nyingine usitoe bila ndoa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuweka Pending na sio kutangaza humu mambo yetu ya Private
 
We si ulijifanya kuwa ni rafiki yako tu anakupa company tukakuambia hamnaga urafiki kati ya jinsia pinzani. Nilijua tu lazima jamaa angekunawa huyo, yametimia kung'uta vumbi vizuri utulie na mmeo sasa.
 
Ajabu analazimisha tuwasiliane kama friends wkt Mimi Nina hasira nae
 
ujinga wako nini sasa mkuu? kwani aujapata raha? kwanini asiwe mjinga yeye sasa?
 
Back
Top Bottom