Hanitaki kisa kasikia nina mtoto wa nje

Minja Ngalason

Senior Member
Joined
Jan 8, 2017
Messages
173
Points
250

Minja Ngalason

Senior Member
Joined Jan 8, 2017
173 250
Wakuu nawasalim,

Mimi na rafiki yangu fulani ambaye tumeivana nae kweli kwa mda, cha kushangaza rafiki yangu huyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada fulani hivi ambaye walitokea kupendana kweli na isitoshe mpaka nyumbani kwao walikuwa wakimfahamu kama wife to be.

Na isitoshe kuhusu swala la kujali huyu jamaa ni hatari ni hata juzi tu amemlipia huyu dada tickect ya kwenda bonden S.A kwa ndugu zake na kula bata hadi mimi shahidi tulimpeleka uwanja wa ndege na jamaa.

Baada ya kurudi ikatokea huyu dada kasikia uvumi kwa dada yake jamaa ana mtoto wa nje so anataka amwache jamaa kwa shinikizo la dada alafu isitoshe jamaa kamsaidia kwa mengi sana kama vile kumnunulia gari, kamjengea nyumba sasa nimeamua kuleta hili swala kwa wanajamvi ili kunisaidia kwa huyu jamaa yangu ambaye ni kama ndugu kwangu.

Actually najaribu sana kumsihi huyu dada asisikilize maneno ya watu na kamwe hakuna binadamu mkamilifu lakini inavyoonekana anaogopa kutengwa na ndugu zake lakini anampenda jamaa.

Nisaidieni waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,372
Points
2,000

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,372 2,000
Wakuu nawasalim, mm na rafiki yangu fulan ambaye tumeivana nae kweli kwa mda cha kushangaza rafiki yangu hyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada flani hv ambaye walitokea kupendana kweli na isitoshe mpka nyumban kwao walikuwa wakimfaham kama wife to be.Na isitoshe kuhusu swala la kujali hyu jamaa n htari n hta juzi tu amemlipia hyu dada tickect ya kwenda bonden S.A kwa ndgu zke na kula bata hd mm shahid tulimpeleka uwanja wa ndege na jamaa.Baada ya kurudi ikatokea hyu dada kasikia uvumi kwa dada yke jamaa ana mtoto wa nje so anataka amwache jamaa kwa shnikizo la dada afu isitoshe jmaa Kamsaidia kwa mengi sna km vile kumnunulia gari,kamjengea nyumba ss nimeamua kuleta hili swala kwa wanajamvi Ili kunisaidia kwa hyu jamaa angu ambaye n km ndgu kwangu

Actually najarbu sna kumsihi hyu dada asisikilize maneno ya watu na kamwe hakuna binadam mkamilifu lkn inavyoonekana anaogopa kutengwa na ndgu zake lkn anampenda jamaa

Nisaidieni waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hii story inakuhusu wewe japo umejitahidi kumvalisha rafiki yako laiki Mwanzo na Mwisho umesema inakuhusu wewe na unahitaji msaada.

Pole Mkuu hao ndiyo wadada wetu kamwe usimuhudumie Mwanamke asiye Mke wako na hata Mke wako kuwa Makini na siyo kwa asilimia zote.. Pole
 
nzikudaima

Senior Member
Joined
May 27, 2017
Messages
183
Points
225

nzikudaima

Senior Member
Joined May 27, 2017
183 225
Huyo Dada anamambo ya ajabu sana.baada ya kusaidiwa Anazingua huyo Jamaa achukue funguo za gari na nyumba aliyoijenga pia aachane nae kwani dunia hii hainaga mwanamke mmoja hata siku moja.ila funzo kwa wanaume wenzangu tuache habari za kupenda mpaka mwanamke anajua maana hawa wakijua wanasumbua sana bora akawa hajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KING DUBU

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
893
Points
1,000

KING DUBU

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
893 1,000
Wakuu nawasalim, mm na rafiki yangu fulan ambaye tumeivana nae kweli kwa mda cha kushangaza rafiki yangu hyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada flani hv ambaye walitokea kupendana kweli na isitoshe mpka nyumban kwao walikuwa wakimfaham kama wife to be.Na isitoshe kuhusu swala la kujali hyu jamaa n htari n hta juzi tu amemlipia hyu dada tickect ya kwenda bonden S.A kwa ndgu zke na kula bata hd mm shahid tulimpeleka uwanja wa ndege na jamaa.Baada ya kurudi ikatokea hyu dada kasikia uvumi kwa dada yke jamaa ana mtoto wa nje so anataka amwache jamaa kwa shnikizo la dada afu isitoshe jmaa Kamsaidia kwa mengi sna km vile kumnunulia gari,kamjengea nyumba ss nimeamua kuleta hili swala kwa wanajamvi Ili kunisaidia kwa hyu jamaa angu ambaye n km ndgu kwangu

Actually najarbu sna kumsihi hyu dada asisikilize maneno ya watu na kamwe hakuna binadam mkamilifu lkn inavyoonekana anaogopa kutengwa na ndgu zake lkn anampenda jamaa

Nisaidieni waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE

Usimwamini sana mwanamke.
 
Wong Fei

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
3,936
Points
2,000

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2016
3,936 2,000
Mh! umenifanya nikumbuke uzi wa jamaa mmoja hivi jf
"Usimhudumie mwanamke ambaye siyo mke wako"
Hapa ndipo panaponekana gharama ya kujitunza
Usiku mwema
 
Forum statistics

Threads 1,389,449
Members 527,931
Posts 34,025,643
Top