Master Plan ya Jiji la Dar

Master Plan ya Jiji la Dar

Joined
May 19, 2017
Posts
48
Reaction score
36
Habari zenu ndugu....bila kupoteza mda naomba mwenye master plan ya jiji atuwekee ...nna mpango wa kwenda kujificha Nzasa ( Chanika)...
sasa haya mambo ya Bomoabomoa yasije kunikuta...
Natanguliza Shukran!!!
 
nenda ardhi na coordinate stahiki za eneo utaelezwa matumizi yake then utajua
Bado sijapata eneo mkuu...ila nashawishika kwa bei ya viwanja huko japo hakuna umeme ...ndo naogopa kutia mguu kumbe mashamba ya watu haya...au kesho tunaambiwa barabara inapita hapa....ndo hofu yangu..
 
kweli kaka, hata mimi natafuta chaka la uhakika
 
Back
Top Bottom