Recent content by uriotz_

  1. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Hivi askari kama hawa bado wapo Tanzania hii?

    Wazee wa kupinga.
  2. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

    Tupo pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣
  3. uriotz_

    JamiiForums Tanzania NSSF Mnachokifanya kunyanyasa na kudhulumu wachangiaji sio sawa.

    Em tupe mbinu boss hata inbox asee
  4. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna wana wana mahesabu kmmk.
  5. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    nlitaka kusema hvo hvo, subaru zmekuwa nyng sana keny usajil wa namba E, wamama wanazpend sana,,,,,,,,,,,hahah
  6. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Hongera, kwa huu wakwangu wa 400k ngoja namm nijarbu kukaza fuvu nisave angalau 250k, as long nipo singo naamini ni uhakika kabisa. [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
  7. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

    Ndio utuwekee picha za kudanlodi?
  8. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipo njia panda

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] apo mwisho sasa
  9. uriotz_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa hakuna mke au mume ambaye kazi yake ni msanii

    Kuna kaukweli ndani yake ila sidhani kama wasanii wote wapo hivyo labda hawa wa kuimba wanaofosi umaarufu ila kwa upande wa waigizaji kidogo naona hapavumi sana.
  10. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa mikoani ni fursa pia

    Na pote huwez pita bure. [emoji1787][emoji847]
  11. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

    Umesoma swali lakini???
  12. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

    Umewekeza kwenye nn Mkuu, [emoji120][emoji120][emoji120]
  13. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 2 mpya za mkopo zinahitajika

    Njoo na 2.1M nikupe Kinglion yangu Mpya KM elf4.
  14. uriotz_

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu ni kuandaa miche 20,000 ya michungwa

    Kama hesabu hakk ni miche elfu2 basi jitahidi uzidishe hata miche mia ya kufidia hasara, kama kuna ambayo itakufa.
  15. uriotz_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Angalia kama kuna ambayo imeingia maji uianike hata mm nlisumbka sana na hik kitu nkaja kugundua remote iliingia maji.
Back
Top Bottom