Kwa dunia ya sasa hakuna mke au mume ambaye kazi yake ni msanii

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Kuna wale mliojiingiza kwenye mahusiano na wasanii msitalajie kufika mbali na mkifika mbali talajieni vibweka vya baba ubaya.

Maisha ya wasanii ni kama bado wajatulia kwenye mahusiano.

Tatizo lina kuwa lipi
 
Kuna kaukweli ndani yake ila sidhani kama wasanii wote wapo hivyo labda hawa wa kuimba wanaofosi umaarufu ila kwa upande wa waigizaji kidogo naona hapavumi sana.
 
Nilipita huko fb nikakutana na taarifa ya mondi hataki mwanae wa kike awe msanii.. Nikasema dah. Ama kweli muosha huoshw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom